Natafuta mwenye kinanda used,offer laki mbili

Natafuta mwenye kinanda used,offer laki mbili

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
Wandugu ninatafuta kinanda kwa ajili ya matumizi ya kanisani,nina shilingi laki mbili.
 
Wandugu ninatafuta kinanda kwa ajili ya matumizi ya kanisani,nina shilingi laki mbili.
Tembelea website ya beforward kuna mahala pameandikwa electronics ,click pale kuna camera, computers, mobile phones, photocopy machines, and music keyboards. So chagua. Wana Tanzania office so unaweza kwenda kulipia ofisini kwao then unasubili wakuletee.
 
Mkuu, kinanda cha laki mbili kwa kanisa ni sawa na kununua kuku mmoja ukitegemea atatosheleza harusi. Andaa bajeti kubwa angalau upate kinanda kama PSRs 670, 770, 950, 970, 750, au latest psr x900. Kanisa linahitaji kununua vifaa angalau vinavyoweza kudumu miaka mi5 kuliko hicho cha laki mbili (ambacho nadhani hakiwezi hata kuwa na uwezo wa kufanya programming, unless kama mnataka muziki wa live mkiwa na drums, gitaa na saxafone)
 
Back
Top Bottom