Watoto waishio mitaani / mazingira magumu

MwanaWA Ebrania

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
939
Reaction score
1,147
Karibuni kwenye Mada:

Najua umewai kusikia, kuona ama kufahamiana na watoto wanaoishi mitaani!? [emoji848]

Najua una viulizo kuhusiana na hilo[emoji2309]!????

Katika maswali yako
Ulishawai kujiuliza
YA kuwa:

Huyu mtoto anayeishi Mitaani, Anatoka wapi[emoji22][emoji24]?????

Umewai Kujiuliza Kwa Nini anaitwa Mtoto wa Mtaani [emoji2297][emoji24]????

Umewai Kujiuliza kama akiwa na Umri mdogo anaitwa Mtoto wa Mtaani,
Akiwa kijana Anaitwa nani[emoji124][emoji15]!??

Umewai Kujiuliza Umri wake ukiongezeka zaidi, Anaitwa Nani[emoji67]‍🦯🧎‍[emoji3603]🧎‍[emoji3601][emoji68]‍🦯[emoji2955]????

Umewai Kujiuliza Baada ya hapo anapotelea wapi!? Kwa nani? Mwisho anapatwa na nini [emoji2297][emoji24][emoji24]!????

Yooote hayo pamoja na mengine mengi yanapatikana kwenye kitabu hiki cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani

Pata Nakala yako kwa kuchangia Elfu Kumi tu Tsh 10,000 Copy ya kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani
Kilichoandikwa na James Yustar
Kijana aliyetupwa JALALANI AKIWA KICHANGA WA SIKU MOJA
Aliokotwa na Mama Msamaria Aitwaye Yustar.

Kwa sasa Kijana James Yustar ndiye Mkurugenzi wa Taasisi ya kijamii ya JAMES FOUNDATIONView attachment 2415840View attachment 2415841View attachment 2415842
IMG_20221103_182537_885.jpg
 
Karibuni kwenye Mada:

Najua umewai kusikia, kuona ama kufahamiana na watoto wanaoishi mitaani!? [emoji848]

Najua una viulizo kuhusiana na hilo[emoji2309]!????

Katika maswali yako
Ulishawai kujiuliza
YA kuwa:

Huyu mtoto anayeishi Mitaani, Anatoka wapi[emoji22][emoji24]?????

Umewai Kujiuliza Kwa Nini anaitwa Mtoto wa Mtaani [emoji2297][emoji24]????

Umewai Kujiuliza kama akiwa na Umri mdogo anaitwa Mtoto wa Mtaani,
Akiwa kijana Anaitwa nani[emoji124][emoji15]!??

Umewai Kujiuliza Umri wake ukiongezeka zaidi, Anaitwa Nani[emoji67]‍🦯🧎‍[emoji3603]🧎‍[emoji3601][emoji68]‍🦯[emoji2955]????

Umewai Kujiuliza Baada ya hapo anapotelea wapi!? Kwa nani? Mwisho anapatwa na nini [emoji2297][emoji24][emoji24]!????

Yooote hayo pamoja na mengine mengi yanapatikana kwenye kitabu hiki cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani

Pata Nakala yako kwa kuchangia Elfu Kumi tu Tsh 10,000 Copy ya kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani
Kilichoandikwa na James Yustar
Kijana aliyetupwa JALALANI AKIWA KICHANGA WA SIKU MOJA
Aliokotwa na Mama Msamaria Aitwaye Yustar.

Kwa sasa Kijana James Yustar ndiye Mkurugenzi wa Taasisi ya kijamii ya JAMES FOUNDATIONView attachment 2415840View attachment 2415841View attachment 2415842View attachment 2415843
Ndugu zangu
Kwa yeyote anaye hitaji kupata Nakala ya Kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani
Awassiliane nasi kupitia No 0657579300 /0757698500
Tunahitaji pia kupata Mawakala mikoani.

jamesfoundation2@gmail.com
Asanteni sana[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hali gani inakupata unapoona ama unaposikia simulizi zinazowahusu Watoto waishio Mitaani [emoji2317][emoji2377]

Unafikiri Hisia zako zinakuongoza sawa sawa kuhusu watoto hao[emoji2317][emoji2377]

Yooote hayo pamoja na mengine mengi yanapatikana kwenye kitabu hiki cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani

Pata Nakala yako kwa kuchangia Elfu Kumi tu Tsh 10,000 Copy ya kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani
Kilichoandikwa na James Yustar
Kijana aliyetupwa JALALANI AKIWA KICHANGA WA SIKU MOJA
Aliokotwa na Mama Msamaria Aitwaye Yustar.

Kwa sasa Kijana James Yustar ndiye Mkurugenzi wa Taasisi ya kijamii ya JAMES FOUNDATION

Ili kujipatia kitabu piga simu No 0657579300 /0757698500

Pata Nakala yako kwa kuchangia Elfu Kumi tu Tsh 10,000 Copy ya kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani View attachment 2418288
IMG_20221114_185718_379.jpg
View attachment 2418289
 
Hello My Dear Friend[emoji2329]
Naamini uko salama [emoji120]

Leo naomba nikushirikishe kitu muhimu kuhusu Maisha ya Watoto Wanaoishi Mtaani.

Najua Unajua ya kuwa Watoto Waishio Mitaani huwa wanaumwa[emoji2918]
[emoji603][emoji541]

Najua Unajua pia kuwa Watoto Waishio Mitaani huwa Wanapata Ajali na wengine Kupata Ulemavu🩼🦽

Najua Unajua Kuwa
Wapo watoto wanaoishi mitaani ambao WALEMAVU wa Kuzaliwa 🦯🦼

Najua Unajua mengine mengi kuhusu Watoto Waishio Mitaani,
Pamoja na hayo najua Unajua Kuwa Watoto hao pia Upatwa na Fifo Kama Binadamu wengine[emoji3545][emoji24]

Umewai Kujiuliza
Kama hayo yoote pamoja na mengine ambayo najua unayajua lakini hapa sijayataja ila yanawapata
Kama Binadamu wengine
Nani anawahudumia!? [emoji848][emoji2317]

Mfano Mtoto anayeishi Mtaani anapoumwa nani anamuhudumia!?

Mtoto anayeishi Mtaani ambaye Mlemavu anapataje mahitaji yake ya Kila siku 🥲[emoji2377]!??

Ulishawai kushuhudia Mazishi ama Matanga ya Msiba wa mtoto anayeishi Mtaani 🥲[emoji24][emoji24]!????

Anazikwa na nani!??
Waombolezaji kina nani [emoji24][emoji24][emoji848]!????
================

Yooote hayo pamoja na mengine mengi yanapatikana kwenye kitabu hiki cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani

Pata Nakala yako kwa kuchangia Elfu Kumi tu Tsh 10,000 Copy ya kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani
Kilichoandikwa na James Yustar
Kijana aliyetupwa JALALANI AKIWA KICHANGA WA SIKU MOJA
Aliokotwa na Mama Msamaria Aitwaye Yustar.

Kwa sasa Kijana James Yustar ndiye Mkurugenzi wa Taasisi ya kijamii ya JAMES FOUNDATION

Ili kujipatia kitabu piga simu No 0657579300 /0757698500
jamesfoundation2@gmail.com
 
Habari Rafiki[emoji2329]
Naamini uko salama
Ukisherehekea Uumbaji wa MUNGU Kwa Maisha Yako[emoji1488][emoji2973]

Karibu tutafakari Kwa pamoja kuhusu Matendo Maovu ya Ukatili yanayo endelea Kwa Jamii yetu🥲[emoji2317]

Kwa miaka ya hivi Katika nchi zetu za Africa Mashariki hasa Tanzania, Kenya na Uganda, kumeibuka wimbi kubwa la Watoto wanaoishi Mitaani [emoji848]

_Sote mashahidi maana macho yetu yanaona Watoto walio wengi wakiume.

_Umepata muda wa kujiuliza Kwa nini wengi unaowaona mitaani ni watoto wakiume[emoji2377]!??

_Unajua sababu inayopelekea Kwa nyakati hizi Matendo mengi ya ukatili wanaoongoza kufanyiwa ni watoto wakiume [emoji2369]!?

_Ni kweli dunia hasa Kwa nchi zetu za Africa Mtoto mwanaume ametegwa na kunyanyapaliwa, Mara Baada ya Mkutano wa Geneva kuitimishwa[emoji848]!?

_Ni sahihi dunia imeamua kumuangamiza mtoto wa kiume ili imuinue Mtoto wa kike[emoji24]!?

_Nini kifanyike ili kumtoa mtoto wa kiume aliyetengwa na dunia Kwa Kutupwa kwenye shimo la Ukatili wa Kila namna ikiwemo Ulawiti na Mauwaji[emoji24]!??

_Dunia itapata wapi MBEGU Mpya za KUZALISHA mtoto Mwanaume SHUJAA mfano wa Nyerere, Mandela, Martin Luther King na MASHUJAA wengine kama Bob Martley na wengine!
Ikiwa kizazi cha watoto wa kiume wa sasa tunawafanyia Matendo Hatari ya Ukatili wa ULAWITI[emoji24][emoji24]!?
=============

Yooote hayo pamoja na mengine mengi yanapatikana kwenye kitabu hiki cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani

Pata Nakala yako kwa kuchangia Elfu Kumi tu Tsh 10,000 Copy ya kitabu Cha Maisha Halisi Ya Mtoto Wa Mtaani
Kilichoandikwa na James Yustar
Kijana aliyetupwa JALALANI AKIWA KICHANGA WA SIKU MOJA
Aliokotwa na Mama Msamaria Aitwaye Yustar.

Kwa sasa Kijana James Yustar ndiye Mkurugenzi wa Taasisi ya kijamii ya JAMES FOUNDATION

Ili kujipatia kitabu piga simu No 0657579300 /0757698500
jamesfoundation2@gmail.comView attachment 2418999View attachment 2419000
131A2628.JPG
 
Back
Top Bottom