Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2.

Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya Songas Road. Kama inavyo onekana kwenye picha hapo chini.

Screenshot_20221114-105751_Street View~2.jpg


Yaani ukijenga nyumba hapa, hakuna kukanyaga vumbi, ni unatoka nyumbani kwako na unateleza na lami mpaka ofisini. Kiwanja kimepimwa.

Area: 500sqm
Asking Price: 50 Million
Price Negotiable
Mawasiliano: 0768444224

Piga simu tuzungumze biashara. Madalali pia mnakaribishwa.
 
Sio kwa ubaya lakini " nimesikia sina uhakika" kuwa TANESCO wanataka kulipa fidia maeneo ya jirani na hapo Songas. So kama mtunana nia ya kujenga na kuishi naeneo hayo sio mbaya akajiridhisha na hizi ear say.
 
Sio kwa ubaya lakini " nimesikia sina uhakika" kuwa TANESCO wanataka kulipa fidia maeneo ya jirani na hapo Songas. So kama mtunana nia ya kujenga na kuishi naeneo hayo sio mbaya akajiridhisha na hizi ear say.
Kiwanja kipo very far from that place. Na eneo wanalotoa fidia si eneo hilo. Ni mbali sana, nyuma ya power plant. Upande niliopo hawawezi kuongeza eneo hata kama wakitaka maana njia kuu ya gridi ya taifa itawazuia kufanya hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom