Natafuta mashine za kumenyea ndizi mbichi

Natafuta mashine za kumenyea ndizi mbichi

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,705
Habari za kuamka wajomba,

Natafuta mashine ndogo itakayoniharakishia kazi ya kumenya ndizi kwa uharaka zaidi.

Kutumia kisu nachelewa sana wateja wananizonga.

IMG_20221118_075941_142.jpg
 
Yanaenda mkuu Tena sana.

Mafanikio yapo na challenges zipo
Wewe ni kijana Mpambanaji sana! Ni suala tu la muda kuwa kama Bakhresa. Vipi na kwenye ile sekta yetu ya udalali wa magari, viwanja na nyumba! Bado unaendelea?
 
Wewe ni kijana Mpambanaji sana! Ni suala tu la muda kuwa kama Bakhresa. Vipi na kwenye ile sekta yetu ya udalali wa magari, viwanja na nyumba! Bado unaendelea?
Asante kwa kunitia moyo ndugu yangu, japo kuwa kama Bakhressa is a process😅😅😂😂😂

Ile sector ya kujiongezea cha juu bado ninayo boss wangu
 
Wenzio hawamejagi wanatumia hivyo hivyo hata matango[emoji41]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom