Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mashine ni used but works perfectly. Other details Name; canon Model; selphy CP1000 Sheet size ; 148cm x 100cm Printing duration; approximately 2min Power; use ac adapter and powerbanks Support...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani nahitaji eneo la gereji ambalo linapangishwa Dar es Salaam, Sifa za eneo. 1. Liwe na fence na gate. 2. Likiwa na Ofisi itapendeza zaidi(Sipendelei sana iwe garage Bubu). 3. Sihitaji...
0 Reactions
11 Replies
889 Views
Habari ya leo ndugu zangu. Ninauza mzani wa kupima uzito mwenyewe, kwa wahitaji wote kwenye maabara ndogo au wafanya diet. Bei ni elfu 70,000/= Napatikana Kahama, ila mkoa wowote nipo tayari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitanda 5 kwa 6 bila godoro Bei 90,000 Kipo Ubungo 0789283031
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Nitakuwa naweka picha za aina ya maua .bei kuanzia ths 5000 location napatikana Kiluvya Gogoni dsm .tunafanya delivery
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Jipatie CV (Wasifu) na Logo kwa bei nzuri. CV (WASIFU) - Huandikwa kuonyesha uzoefu wa kazi, elimu, ujuzi, mafanikio yako ya kitaaluma, nia na malengo yako ya baadae. LOGO - Logo husaidia katika...
0 Reactions
11 Replies
681 Views
Usihangaike na uandishi, wasiliana nasi; Instagram: We_writ whatsapp: 0784915660 [emoji117]Plagiarism Reduction [emoji117]Proof Reading [emoji736] [emoji117]Supervisors comments Workout...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Habari Jf . Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa. Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi. Gharama za kufanya underground water...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nauza bracelets kali na unique kwa bei ya jumla, bei ya dozen (12+) ni elfu moja na mia tano (1,500/=) kwa piece moja. Wauza bracelets kama mpo interested nitafute kwa namba hii 0714-085617...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wadau, Nahitaji fundi wa plumbing akuje kunifanyia tathimini kwenye kanyumba kangu. Ila awe anaishi Runzewe - Geita au Nyakanazi, Biharamulo. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
446 Views
OFFA!! Dar electronics wanakuletea mashine za Canon selphy CP 760. Mashine ni used but works perfectly. Other details Name; canon Model; selphy CP760 Sheet size ; 148cm x 100cm Printing...
1 Reactions
41 Replies
13K Views
Wakuu amani na iwe kwenu. Naomba kupewa connection ya gari la kukodi mbeya kwa siku mbili au zaidi kwa mizunguko ya hapo mjini. Pia kuna uwezekano wa kufanya safari za nje ya mji kidogo. Gari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Fundi simu anahitajika. Awe K/Koo, Dar. Weka namba, kikubwa soma tangazo langu.
2 Reactions
4 Replies
553 Views
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu kwema, samahan nahitaji asali mbichi ya nyuki wadogo nipo mwanza
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Inakuja na; 2 pads FIFA 23 installed Cables zote @ 550,000/= Interested CALL/SMS/WHATSAPP 0653 835790 0754 935991 DAR FREE MARKET
1 Reactions
1 Replies
790 Views
Jamani ndugu zangu nina shida na simu ya button toleo za nyuma kama Nokia vile vidogo. Tafadhali mwenye nayo hela yake iko mfuko wa shati! Naomba kuwasilisha
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wa jukwaa (jamii) Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali. Containers zipo za 20feet na 40feet Kuna used from Japan zilizotumika hapa...
5 Reactions
58 Replies
14K Views
Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom