Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Wakuu, Nimeona ni Vema ni share naye kama Watanzania wezangu Fursa hii Ambayo itakufanya Uingize kila Siku sh 50,000 kwa juhudi zako. FURSA YENYEWE Mimi Nashughulika na uchinjaji Wa...
20 Reactions
69 Replies
5K Views
Mwenye uwezo au kama kuna mtu anamfahamu mtaalamu wa kutengeneza ANIMATION tafadhali tuwasiliane inbox
2 Reactions
0 Replies
372 Views
Make: Nissan Model: Civilian Model No: RW40 Chassis No: RW40030035 Engine No: TD42093733 Engine Capacity: 4169 Number of Axles: 2 Mawasiliano Bei mil 27 0622 033 117.
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Wana JF natafuta nyumba ya kupanga Mtwara, nahitaji vyumba viwili vya kulala na sebule.Napendelea zaidi maeneo ya Kiyangu.Ahsanteni.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kutana na wataalamu wa kufanga mifumo ya umeme majumbani,ofisini na kumbi mbalimbali kwa mifumo bora ya kisasa na salama. Pia tunadesign mifumo ya mwanga wa dari (ceiling), makabati (Cabins)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa. Kwa Anayehitaji Msaada wa kupata Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani. Nipo kumsaidia. +255746482119/+255757637525
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu Ningependa kujua kati ya kampuni tajwa hapo juu, ni kampuni gani ambayo hutoa magodoro mazuri na yenye ubora, ambayo ukinunua hutajutia hela yako(Nikimaanisha sio...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunawaletea fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme Fryer za gas zina kibiriti chake kwa ndani. Zinapata moto haraka Kila bakuli lina uwezo wa kuchukua lita 6 Bei: Double gas fryer...
1 Reactions
78 Replies
11K Views
salama wakuu? jamani nataka kununua godoro toka kampuni ya tanfoam. nataka kujua lipi bora kati ya 6*6 nchi 8 na 6*6 nchi 10. lipi linafaa zaidi?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
KWA HAPA TANZANIA Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
2004 1490cc 70,000 Kms Haina tatizo lolote Upanga - Dsm Call: 0717 650800
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza Kiwanja kilichopimwa Square miter 296 Jirani na Azam Factory Mwandege. Kiwanja kipo katika mazingira tulivu umeme upo umbali wa mita 16 tu. Maji masafi unavuta kwa jirani mita 25 tu Kiwanja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
REALWOOD LTD, ni watengenezaji na wauzaji wa milango aina ya mbao na vifaa vya milango. Tunatengeneza milango ya mbao ngumu tunatumia mbao ya mkongo (Hardwood)na milango ya mbao ya kawaida...
0 Reactions
35 Replies
14K Views
njoo ione vyumba 2, kimoja master na sebule nzuri kabisa.. ipo wilaya yai IKUNGI SINGIDA
1 Reactions
5 Replies
521 Views
Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
0 Reactions
4 Replies
782 Views
Wakuu habari za majukumu; Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tunauza Mashine ndogo za kufulia mpya kabisa kutoka china. Zinafua, Kusuuza na Kukausha. Brand Ni JF, Ni Imara sana na ikikusumbua ndani ya miezi mitatu tutakabadilishia mashine mpya kabisa...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…