Ingia hapa https://chat.whatsapp.com/EyHPooeZzER0AmSsOTpUODWakuu habari za majukumu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza kutuma picha hapa.
Ninatanguliza shukrani
Na hapa https://chat.whatsapp.com/EpgSyIbm8PXBpgMWmZNHSAKaribu wote wenye tasrifa husika
Ok ila humo ni biashara tuu..Mkuu kama una taarifa niunganishe tu, group nyingi za kibongo huwa hazifuati lengo ni stori tu nami sina muda wa kufuatilia posts zinazojaza notifications kwa simu
Ok ila humo ni biashara tuu..
Mmh lilikuwa na story?Niliwahi kuingia nalijua
Gari zuri sana hiiMuundo huuView attachment 1225213
Ya kale dhahabu!Gari zuri sana hii