Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wanachama wa jf, nauza simu yangu infinix hot 11 ya gb 128 Naiuza Nina shida na hela Simu aina tatizo lolote ipo safi kabisa Gb 128 RAM 4 unaongeza hadi ram 7 ANDROID 11 CAMERA 50 MPX...
0 Reactions
4 Replies
726 Views
Maisha yanakwenda kasi sana aisee! Unakumbuka kipindi cha nyuma tumewasha moto kwa kutumia karatasi, majani, vijiti vya miti, karatasi za nylon na hata mipira kama kandambili na hapo Mkaa ulitii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi....? Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,, Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Car parking shade inakupatia ulinzi mzuli wa gali yako na inakupa mwonekano mzuli wa nyumba yako kalibuni sana wateja popote ulipo tunafika piga/whatssap.0653653480 bei zetu ni gali moja.1.5m gali...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre). Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja) Bei hazina maongezi (prices are fixed) 1-Sony...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu, Nije moja kwa moja kwenye mada, nina soya zipatazo tani kama 15, nahitaji kujua bei ikoje sasa kwa kilo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Batani za chini zimefutika Haijawahi kufunguliwa Betry siku 3 na redio usikilize Ipo moshi mjini Bei ni 10000 0744883353 0718569091
0 Reactions
3 Replies
534 Views
Popote nakuja hata nyumbani kwako, pawe na bomba la maji tu. mawasiliano 0757416664 au 0655556426. Tunapatikana Mwenge, Mpakani - Dar.
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Nataka kununua biashara ya playstation (gamecenter) ,anayeuza naomba tuwasiliane 0718029972
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Habari wana mzengo! Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja...
26 Reactions
472 Replies
39K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji simu Aina ya xiomi note 11 pro simu owe used kwenye Hali nzuri 0627796644 text me tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
622 Views
About US Tzhosts is a Tanzania company that specializes in development, deployment and management of digital solutions for small and medium size businesses. We offer services and solutions across...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Spark 3 ~ Ina creck kidogo ~ Gb 32 ~ Ram 2 ~ Nipe 60000 Tu, bei ya chap ~ Iko moshi mjini ~ Call me 0744883353
0 Reactions
3 Replies
462 Views
Tunauza trekta aina ya Lovol, Lovol 754-75HP 4WD bei ni 53,000,000/= Tsh Lovol 504-50HP 4WD bei ni 39,000,000/= Tsh Trekta zetu ni imara, zenye nguvu na utumiaji wa mafuta mdogo. Mfano; HP 75 4WD...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello bosses. Kwa wale mnaohitaji kujifunza au kujiboresha katika Computer Programming karibuni kwenye community ya tech255.com ambayo imegawanyika katika sehemu 3 1) Website Hapa utapata kozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi kuna mtu anafaham, wapii naweza agiza injini za boti, kama YAMAHA, PATSUN, HONDA, MARINER NA THE LIKES... au walee wanaogaza magari Japan wanaweza kubalii ofa ya kuletaa mashine hizi...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Best Camera. Imetumika kidogo Haina tatizo lolote. Ready to used. Price: 850,000/= Call: 0712553300
0 Reactions
3 Replies
492 Views
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya...
2 Reactions
11 Replies
12K Views
Mid-century architectural design yenye master bedroom 2, ina 170sqm. Kiwanja 25m x 25m. Ina atrium katikati inayoruhusu mwanga kupita kwa wingi. Ina interior design pia. NB: Inaweza kua modified...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom