Tunauza Vijiti vya kuwashia moto

Tunauza Vijiti vya kuwashia moto

Joined
Mar 21, 2023
Posts
2
Reaction score
3
Maisha yanakwenda kasi sana aisee! Unakumbuka kipindi cha nyuma tumewasha moto kwa kutumia karatasi, majani, vijiti vya miti, karatasi za nylon na hata mipira kama kandambili na hapo Mkaa ulitii na kuwaka.

Ceiling Boards nazo zimepata tabu sana na bado zinaendelea kupata tabu mtaani ilimradi tu Mkaa uwake.

Lakini suluhisho limepatikana kutoka Milima na Mabonde ya Nyanda za Juu Kusini ambako huku tumekuletea VIJITI VYA KUWASHIA MKAA (MOTO) ambavyo havitumii nguvu nyingi wala idadi kubwa ya vijiti bali kijiti kimoja tu kinatosha KUUFANYA MKAA UTII AMRI na kuwaka. Kijiti kimoja tu hata kikiwa Kimeloa Maji namna gani lazima kitii AMRI.

TUNAKULETEA VIJITI VYA KUWASHIA MKAA (MOTO) KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA.

Muda si mrefu tunakuletea picha za bidhaa zetu.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0768851190/0743204194
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom