Wapi naweza kuagiza Injini za boti

Wapi naweza kuagiza Injini za boti

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
680
Wanajamvi kuna mtu anafaham, wapii naweza agiza injini za boti, kama YAMAHA, PATSUN, HONDA, MARINER NA THE LIKES...

au walee wanaogaza magari Japan wanaweza kubalii ofa ya kuletaa mashine hizi.

Natangulizaa Shukraniiii
Screenshot_20210813-100950_Samsung%20Internet.jpg
 
Ingia mtandaoni agiza machine. Pia kuna makampuni yana mawakala bongo.

Na kwa tz zina uzwa vile vile.

Ni wewe ukiamua kufanya una Fanya... Sijajua umekwama wapi?
 
1.Jaribu kuwatafuta wale wanao import vitu used toka ulaya na Japan

2.zunguka kwenye makarakana za maboti
Kama uko dar nenda sleepway ingia kwenye karakana la maboti pale,yupo fundi mmoja mjapan mzee atakupa connection,ushauri wa kutosha(kama bado yupo lkn)

Ova
 
Ingia mtandaoni agiza machine... Pia kuna makampuni yana mawakala bongo...

Na kwa tz zina uzwa vile vile...

Ni wewe ukiamua kufanya una Fanya... Sijajua umekwama wapi?
Tanzaniaa wanakazaa sana yaa Mfno iyoo YAMAHA HP 15 ni M4.8 wakatii hapo ni dollar 700 mpk 900
 
Tanzaniaa wanakazaa sana yaa Mfno iyoo YAMAHA HP 15 ni M4.8 wakatii hapo ni dollar 700 mpk 900
Sasa hiyo dollar 700-900, imeshafika nchini au bado?!kwani kodi ndio balaa, unaweza ukaona gari CIF, kwa $3000, lakini uliulizia bei kwa hapa bongo ni karibu mala mbili yake!!!tatizo kodi za kukomoana!!
 
Kama hujapata tukuagizie Yamaha kutoka South Africa kama used inatestiwa kabla ya kuletwa
 
Achana na Honda,Envirude,Mariner,Mercury,Envirude.

Kama unafanya uvuvi Chukua Yamaha,Parsun,Calon Grolia na Tohatsu hizi zinaingiliana parts na spea zipo hata sehemu za ndani ndani
 
Kuna boat nimeona wamefunga engine ya cruiser 1HZ..hizi huwa inakuaje kwenye ufanisi?
 
Wambongo mnajua kilakitu hata ambacho akijatengezwa, mkuu umefanya utafiti lini uli cost miaka mingapi ukiwa wapi na gharama kiasi gani ulitumia?
Tuna deal na utengenezaji boat na kuagiza engine za boat inboard na outboard engine. Maduka ya spare za outboard engine zote wana deal na Yamaha sababu ndio zipo nyingi baadhi utakuta spea za Suzuki na Mercury.
 
Sijawai kujua chief
Hiyo boti itakuwa kwenye urefu wa mita 12 mpaka 14, kwenye majahazi wanafunga engine kubwa zaidi ya 1hz ambayo ina 129hp. Wanafunga engine za Volvo D9, Scania 113 za 360/320 hp, Cummins za 250, Yanmar za 250hp
 
Back
Top Bottom