Soko la Soya

Soko la Soya

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,355
Habari za muda huu ndugu zangu,

Nije moja kwa moja kwenye mada, nina soya zipatazo tani kama 15, nahitaji kujua bei ikoje sasa kwa kilo?
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Nije moja kwa moja kwenye mada, nina soya zipatazo tani kama 15, nahitaji kujua bei ikoje sasa kwa kilo?
Ulishapata mnunuzi?
 
Back
Top Bottom