Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Say goodbye to manual bookkeeping and hello to streamlined operations! Our powerful system seamlessly integrates point-of-sale transactions with accounting records, saving you time and reducing...
1 Reactions
0 Replies
599 Views
Habari, Nahitaji account kwa mwenye nayo ya huduma za usafiri kwa hapa DSM. Nipo na bajaji nataka nijiunge na hiyo mitandao kwa mwenye nayo PM tuyajenge.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa. Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1, Drayer la stima 1, kioo kikubwa kimoja, rolas na tray ya rolas. Bei Tsh. Laki tano (500,000/=)...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Cc 1490 Year 2007 Price 16milion Call 0686475568
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio. Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Mambo Vp wakubwa Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata cover za hz simu redmi note 7 au redmi 10x pro 5g kwa hapa dar au hata nje ya dar maana nimetafuta hadi bas asee[emoji17]
0 Reactions
6 Replies
410 Views
Ntakuwa naleta hesabu kwa makubaliano. -Nimeajiriwa na mshahara wa 1.8 M -Sina mkopo bank wala popote -Sina wategemezi -Hii itaniongezea kipato weekend na masaa baada ya kazi. Nishawahi kufanya...
2 Reactions
0 Replies
353 Views
SIMU YAKO NI EFD YAKO TOSHA KABISA ..SASA UNAWEZA KUTUMIA SIMU YAKO AU LAPTOP YAKO KUTOA RISITI ZA EFD TOA RISITI BILA KIKOMO KARIBU DIRM TECHWORKS TUKUHUDUMIE 0692099113 [emoji338] Whatsup...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Natumai mu-wazima nyote. Well, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji huduma ya mabarafu makubwa kiasi kwa maeneo tajwa hapo i.e Segerea, Tabata au kama ikishindikana basi hata...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
We are looking for skilled and motivated freelancers to join our team. If you are a freelancer with experience in any of the following areas, we want to hear from you: Writers and editors...
1 Reactions
1 Replies
640 Views
Kama wewe ni mwandishi ambaye unatafuta mtaalamu wa kuhariri kazi zako ili kufikia kiwango cha juu, nipo hapa kukusaidia. Nimejitolea kusaidia kuimarisha muundo wa maandishi yako, kusawazisha...
2 Reactions
6 Replies
588 Views
  • Closed
Nyumba inauzwa eneo ni Keko kilometer chache kuelekea ama kutoka mjini (city center), yaani kutoka hapo kuelekea Kariakoo kwa miguu ni dk 10-15 pia kuelekea posta ni 15-20. Ina vyumba sita na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu za kwenu? Hope mko poa. Niko na 4G POCKET WIFI nili nunua airtell kwa thamani ya shilingi 50k Ina offer ya 5GB kila mwezi pale unapo weka kifurushi cha mwezi mfano ukinunua GB 4.5...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Dodoma ni jiji linalokua kwakasi kubwa mno, dodoma Ndio jiji pekee Africa mashariki na kati litakalokua na barabara ya mzunguko ukiitoa South Africa. Barabara ambayo utazunguka mkoa mzima wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
OFFER OFFER OFFER [emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91] *IMESHUKA BEI JUMBA LA KIFAHARI KIBAMBA KWA TZS. 180m, UNAWEZA KUTUTANGULIZIA 50m UKAINGIA, HALAFU INAYOBAKI UTATUAMBIA...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Wadau salaam, Natafuta nyumba/chumba ya kupanga maeneo ya Namanga, Ada Estate na maeneo ya karibu na hapo. Nahitaji nyumba ndogo hasa chumba/master room (self-contained) yenye jiko. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
HIGHPOWER - STOP THAT LEAK FOAM Tumia High Power Stop That Leak Foam kwa mizunguko ya maji inayovuja! Povu lenye kuziba haraka na kwa ufanisi mianya yote. Thibitisho la kudumu, hata kwenye nyuso...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Habarini wana JF me ni mtaalamu sana kwenye kutengenezea Bussiness card ninauzoefu wa miaka 5 kwenye kutengenezea Bussiness card natengeneza Bussiness card Kwa elfu kumi
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Sharose Enterprise inawakaribisha wajasiriamali na wafanyabiashara wote wenye nia na huitaji wa usajili wa biashara zao. Sharose tunatoa usaidizi wa usajili wa Kampuni na Majina ya biashara kwa...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Back
Top Bottom