Agiza nami vioo original vya Samsung kutoka China

Nyamwi

Member
Jan 12, 2022
54
58
Habari wana JF,

Kioo chako cha simu ya Samsung kinasumbua au kimeharibika? Basi usiangaike, agiza nami kwa bei nafuu zaidi kutoka China, hutajutia kufanya biashara na mimi na utaendelea kuipenda simu yako siku zote.

Utapata kioo chako ndani ya siku 14 za kazi toka siku uliponipa order yako..

Nicheki whatsapp 0657940974 Anna..
 
Sh ngapi
 
Sijawahi kupata mafanikio chanya kwenye hivi vioo vya aftermarket, anyway, inawezekana nina bahati mbaya pia .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom