Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Toyota Hilux Surf Cc 2700 Petrol Smooth and excellent condition Proce 35m negotiable 0767507487.
0 Reactions
3 Replies
890 Views
AVS microprocessor controller used ipo Arusha Bei ndogo tu Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Hdd : 1TB. Location : DSM. Price : 700,000.
1 Reactions
0 Replies
661 Views
Hivi tz hii ni site ipi unayoweza kusearch kupata kifaa cha gari lako unachokiitaji online? Msaada mwenye idea
1 Reactions
116 Replies
32K Views
Mara nyingi gari ikiibiwa masega, 1. Itawasha check engine 2. Inaweza kukosa nguvu. 3. Inaweza kumisfire(misi). 4. Itatumia mafuta vibaya sana. Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu naitaji msaada jinsi ya kupata pump Kama iyo apo.
1 Reactions
3 Replies
754 Views
Sasa unaweza kupata Nyumba za kupanga, Apartments, Frames na Viwanja katika maeneo yote ya Makongo juu. Nyumba zenye hadhi tofauti na Bei tofauti. Wasiliana nami kwa 0743941142.
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti...
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Paua na Mabati ya Super Quality Tanzania. Hakuna mbamba mikoani tunatuma. Tunapatikana Dar es Salaam maeneo ya Karakana TAZARA Simu: +255768549206
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru. UWEZO WAKE: √ Zinatumia mfumo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unakiwanja, shamba au nyumba utapost kwenye uzi huu. Ili iwe rahisi kwa ajili ya wanunuzi na wauzaji. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
33 Replies
7K Views
[emoji91]MRADI MPYA KIBADA ~~>SHANGWE[emoji817] KM 8 KUTOKA FERRY MITA 600 KUTOKA BARABARA YA KIBADA/MJIMWEMA [emoji117]UKUBWA: SQM 500/600/1000 [emoji117]BEI: TSH,55,000/= @ SQM1...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Me ni Fundi wa Alcobond Napatikana Sinza Mori ndo ofisi yangu ilipo karibuni sana hizi ni baadhi ya kazi zangu mkoa wowote nafika Mawasiliano Yangu 0759117175 0717751175
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Habari wanaForums, Nauza pallet kwa matumizi mbalimbali. Zinapatikana Mwanza, pasiansi. Bei kwa kila pallet ni Tsh.5000 kwa maelezo zaidi: 0672883431
2 Reactions
7 Replies
772 Views
Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi. Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266...
2 Reactions
3 Replies
747 Views
IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali! Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani. Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya...
3 Reactions
5 Replies
824 Views
.
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Natafuta order za kusafirisha mizigo mkoani na semi trela 0622925955
0 Reactions
5 Replies
794 Views
habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square. Bei ni 15,000,000 maongezi yapo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nauza Shamba hekari mia moja(100) lipo Mkoa wa Singida Wilaya ya MANYONI. Shamba lipo Kilometa Saba(7) kutoka Manyoni Mjini ni mwendo wa barabara ya lami na pia Shamba kutoka lami kuingia shamba...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom