Nauza Kiwanja kilichopimwa Square miter 296
Jirani na Azam Factory Mwandege.
Kiwanja kipo katika mazingira tulivu umeme upo umbali wa mita 16 tu. Maji masafi unavuta kwa jirani mita 25 tu
Kiwanja...
REALWOOD LTD, ni watengenezaji na wauzaji wa milango aina ya mbao na vifaa vya milango.
Tunatengeneza milango ya mbao ngumu tunatumia mbao ya mkongo (Hardwood)na milango ya mbao ya kawaida...
Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
Wakuu habari za majukumu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza...
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote...
Tunauza Mashine ndogo za kufulia mpya kabisa kutoka china. Zinafua, Kusuuza na Kukausha.
Brand Ni JF, Ni Imara sana na ikikusumbua ndani ya miezi mitatu tutakabadilishia mashine mpya kabisa...
Habari wakuu,
Ikiwa una nyumba yako na unajiuliza ni wapi utapata mapazia au Mabomba ya mapazia pamoja na installation (ufundi) basi leo umepata suluhu kwani sisi tunaweza kumaliza tatizo lako...
Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu!
Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika...
Jipatie nakala za vitabu vya riwaya pendwa za Kamanda Amata Sasa. Wahi katika sehemu hizi[emoji116]ukamate yako...
HARUFU YA KIFO
Tsh 12,000
MPATANISHI
Tsh 12,000
Dar es salaam
°Duka la Kona ya...
Habarini wakuu.
Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya...
Kwa wapenzi wa kuweka nywele karikiti yenye kukaa miezi 3 bila kulitachi wanicheki kwa no 06788188066 au 0657932367. Nije kukuhudumia
Faida ya kalikiti.
1 inafanya uwe na mawimbi mazuri ambayo...
Karibuni kupata perfume mbalimbali kwa bei poa. Perfumes zote ni 35,000 hapa kuna unazopata na body splash yake kwa bei hiyo hiyo na jumla tunauza kuanzia 6 (Set 6) na ukichukua nyingi zaidi bei...
Habari ya muda huu ndugu zangu..
I'm a freelance Accountant doing the following
1. E-filing (PAYE & SDL)
2. Payrolls preparation
3. VAT returns preparation and filing
4. Preparation of books of...
Habar wakuu msaada wenu nauliza wapi naweza kuganyiwa massage na maprofesional nasumbuliwa na mgongo
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
1. Two Stands rail net
Hii ni net👆 nzuri sana na classic sana, Kimuonekano ni kama inavyoonekana hapo juu, Zipo katika rangi 4 (Pink, Purple, Cream & White)
2. Two stand adjustable net...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.