Kusafirisha mizigo kutoko China kuja Bongo

Kusafirisha mizigo kutoko China kuja Bongo

Joined
Oct 14, 2017
Posts
84
Reaction score
51
Wakuu hii ni maalum kwa mtu ambaye atakuwa anahitaji kutuma mzigo kutoka China kuja Tanzani, nipo hapa kwaajili ya kutoa huduma hiyo.
IMG_20220905_165418.jpg
 
Location ya ofisi zenu hapa Dar please
 
Nilisha wahi kuagiza mzigo kutoka china kuja dar kwa ndege kupitia hiyo kampuni kweli mzigo ulifika salama lakini ulichukua miezi miwili kufika na kwenye customer care sio kabisa.
 
Ukiona hivyo hawa jamaa ndo wameanza hii biashara..
Na ndo wanajifunza changamoto za kazi
 
Nilisha wahi kuagiza mzigo kutoka china kuja dar kwa ndege kupitia hiyo kampuni kweli mzigo ulifika salama lakini ulichukua miezi miwili kufika na kwenye customer care sio kabisa.
Mzigo wako boss ulikuwa wa aina gani? Na ulikuwa muda gani?
 
Weka mahali ofisi ilipo,mtaa,Jina,namba za Simu,email.pia weka wastani wa gharama na michanganuo mingine.
Tuna chaji kwa kilo ni usd 12.5 kwa kg1, Ofisi zipo Dar es salam Kariakoo mtaa wa Nyamwezi na Rufiji, Mwanza Mtaa wa lumumba opposite na mchapakazi, kwa zaidi call or whatsapp 0655134448
 
Back
Top Bottom