Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 138
Tunauza vitoto vya nguruwe vya miez miwili
Mahali n Arusha Tengeru
Mahali n Arusha Tengeru
Mkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingineHivi nguruwe na ngamia yupi anabei kubwa
mungu wa wapi!?Mkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Jibu zuri sanamungu wa wapi!?
Wapi kaandika laki nneDuh kimoja laki 4 mbona bei sana?
Nguruwe mbona ni biashara fuleshi mkuu, na wapi MUNGU alisema inamchukiza?Mkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Inamaana huyo mungu aliumba kiumbe ambacho ni chukizo mbele zake ni mungu wa Kijiji gani hicho?Mkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Kanijibu PMWapi kaandika laki nne
Aache utani. Nguruwe wa kienyeji Mtoto wa umri huo havuki elfu 70Kanijibu PM
Ye kasema mia 4 kimoja.Aache utani. Nguruwe wa kienyeji Mtoto wa umri huo havuki elfu 70
Bwana Ako au??Mkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine
Kanijibu PM
Nakama ni chukizo kwake kwanini awaumbe!?Nguruwe mbona ni biashara fuleshi mkuu, na wapi MUNGU alisema inamchukiza?
machukizo kwakoMkuu hao wanyama ni machukizo mbele za Bwana,jaribu biashara nyingine