Natafuta chupa tupu na crate za pepsi

Fidakasa

Member
May 14, 2013
83
50
Habarini wadau wakubwa huku JF, km unakreti tupu za pepsi nahitaji kuzinunua ikiwa unaziuza au unajua mtu anaziuza. Kwa maeneo yote ya Dar es Salaam km unazo tuwasiliane tufanye biashara wadau wangu. Karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom