Nyumba inauzwa Milioni 125 ipo Dar

Nyumba inauzwa Milioni 125 ipo Dar

Joined
Oct 31, 2021
Posts
43
Reaction score
67
Ndio nyumba inauzwa m125 ipo dar, kigogo mburahati. Mazungumzo yapo kigogo kwa muhitaji kweli. Nyumba inatazama barabara ya lami kabisa. Nyumba haina migogoro yoyote. Call 0783 708437.
 
Attachments

  • 20220823_132416.jpg
    20220823_132416.jpg
    67.3 KB · Views: 24
  • 20181209_160933.jpg
    20181209_160933.jpg
    44.8 KB · Views: 30
Ndio nyumba inauzwa m125 ipo dar, kigogo mburahati. Mazungumzo yapo kigogo kwa muhitaji kweli. Nyumba inatazama barabara ya lami kabisa. Nyumba haina migogoro yoyote. Call 0783 708437.
Madalali muwe na huruma yaani nitoe million 100+ nikanunue nyumba kigogo mburahati serious achen ujinga

Hio million 100 ukienda mbezi-kimara unapata bonge ya nyumba hata mbezi beach unapata nyumba
 
Madalali muwe na huruma yaani nitoe million 100+ nikanunue nyumba kigogo mburahati serious achen ujinga

Hio million 100 ukienda mbezi-kimara unapata bonge ya nyumba hata mbezi beach unapata nyumba
iyo nyumba bei 40M
 
Bado ni nyingi hiyo 20m haizid location mater kigogo mburahati kule uswalin vibaya mno
Hela sio makalio kila mtu awe nayo. Ok lete iyo 20m kama unayo tukupe hiyo nyumba.

Mwisho: ukiona unapata unapata tabu kunielewa ujue ujumbe sio wako.[emoji1787][emoji112]
 
Hela sio makalio kila mtu awe nayo. Ok lete iyo 20m kama unayo tukupe hiyo nyumba.

Mwisho: ukiona unapata unapata tabu kunielewa ujue ujumbe sio wako.[emoji1787][emoji112]
Hujui biashara kabisa unaleta lugha chafu kama hizo tafuta kazi nyingine biashara huwezi ndo maana kwa akili yako kisoda unaweka price tag ya million 120 kwa nyumba iliyoko kigogo ambayo ni mbaya kupita maelezo

Kwa akili yako kisoda mtu atoe million 120 kigogo mburahati labda umpate bwiga asiyeijua dar vizuri, siwez nunua nyumba kigogo hata kama ni million 1 si uwendawazimu huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom