Sasa mie expert! Lakini bado si expert sana lakini ninazo mia mbili Uwiii! mia mbili, mia mbili na upuuzi mwingine!:confused::mad::p:eek: hizi nazipenda ninazo kama mia mbili na upuuzi mwingine...
Namtafuta rafiki yangu aitwaye TANU OKONGO rafiki yangu huyo tulisoma wote katika shule ya msingi Mihayo pale Tabora mwaka 1975. toka mwaka huo tulipomaliza shule ya msingi sijamuona tena...
Fellow Forummites,
My best friends are going for a tour in Dar es Salaam. They are very interested to met with Richard Beduizenhout wa Big Brother Africa 2. Is there anyone please who has...
Habari!
Je! ungependa kubadilisha Kipato chako?
Je ungependa kuwa Majasiriamali?
Kama jibu lako ni ndio na umedhamilia tuma msg kwenye namba hii:-0787 464 424 ukiandika jina kamili utasaidiwa...
Ndugu wana JF kwa huzuni kubwa na masikitiko napenda kuwataarifu ule mwili wa mpendwa wetu
ULIMBOKA
MWAKIFUNA
aliefariki hapo wichita uko USA kwa ajali ya...
Please why are we leaving over school leavers behind. all advertisement i come across they write" job vacancy but 2 or 3 years experience.
what about those who are not experienced is it that they...
Jamani,
Nimeiiona hii kwa michuzi na nilidhani labda watanzania wenzetu walioko Kansas ambao wanamfahamu zaidi marehemu wangeiweka hapa. Kwa kweli mimi sijui sana kinachoendelea ila nitajaribu...
Tatizo la MALARIA ni sugu sana kwetu lakini cha ajabu ni huy kijana ndio ameleta mwamko katika ulimwengu na sisi bado tunapiga gumzo vijiweni wasomi wetu mko wapi
Web guru targets malaria with...
Asalaam alykum,
Ndugu zangu, kwa huzuni nawapa taarifa kuwa ndugu yetu,kaka yetu na mwenzetu Omari Lambi alifariki jana hapa London katika hospitali ya university College Hospital -Euston kutona...
Tumejaribu kuwaletea burudani kwenye KLHN. Burudika na vibao vya kwetu hadi uchoke. Huwezi kudownload though ni burudani ya masikio yako tu. Kwenye ukurasa wa mbele chini ya "Google search"...
Hi, bandugu!
Nimeona kuna watu humu wanaulizia computer. Kuna laptops 2 zinauzwa kwa TShs 600,000 each. Ni refurbished Toshiba, pentium 4 laptops kutoka US. Hard disk: 40GB; RAM: 500MB...
Hello members,
Nahitaji Desktop computer yenye specs nzuri. Nimepata Quote moja lakini napenda kuwa na hakika kuwa sijapigwa changa la macho. Quote yenyewe hii hapa chini:
"Hi the dell PC...
Wakuu,
Imebidi nitafute internet kukanusha taarifa ya kukamatwa kwangu. Bahati mbaya nimekuta ile thread husika imeshafungwa na imebidi nianzishe mpya.
Ni hivi, sijahojiwa, sijakamatwa wala...
Kwa sababu ya kuuliza swali la EPA
nimepata taarifa usiku wa manane
sijui whats going on lakini nipeni couple of hours unless mwenyewe aje humu ndani kutupa updates
ASSALAM ALYKUM WARAHMATU-LLAHI WABARAKATU. Jamani tulikuwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu SAIDA SAID GHARIB au jina la hapa la kisomali ni AISHA SAID GHARIB aliefariki hapa uingereza kwa hio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.