Dicota website is now live!

utatala

New Member
Aug 13, 2009
1
0
Dear Colleagues:

We are glad to inform you that www.dicotaus.org; the website for the Inaugural Convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America [DICOTA] is now LIVE.
Please accept our sincere apology for any inconvenience caused during the time when the website was down due to some unascertained technical difficulties.
Please pass the word around and let’s know how we can make it better to serve you.
Best regards,
DICOTA Interim Secretariatankunga@dicotaus.org
 
Dear DICOTA Interim Secretariat:

The website tells very little of WHO you are, WHAT are you up to and WHY!

This looks like a Texas Council of Bongolanders!
 
Sure,
so you say it.
- how does a tanzanian in Mtimbwilimbwi, Kishuro, Nangulukulu, nankalamuka etc benefit from this??
- What is DICOTA?
- What input are you expecting from us???
I do not see why i should spare time for this website, unless if someone convinces me.
 
Dear DICOTA Interim Secretariat:

The website tells very little of WHO you are, WHAT are you up to and WHY!

This looks like a Texas Council of Bongolanders!

That is why it is called an Overview! I'm planning to attend their convention this year, I'll see what they up to...

dicota.jpg

B.
 
Dear Colleagues:

We are glad to inform you that www.dicotaus.org; the website for the Inaugural Convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America [DICOTA] is now LIVE.
Please accept our sincere apology for any inconvenience caused during the time when the website was down due to some unascertained technical difficulties.
Please pass the word around and let's know how we can make it better to serve you.
Best regards,
DICOTA Interim Secretariatankunga@dicotaus.org

Was the site ever active before going down?! Please tell the truth and only the truth...!
 
Last edited:
Wale wahusika wa karibu tunaomba ufafanuzi kuna Uhusiano gani kati ya DICOTA na Mchungaji Mwakasege? Nimeangalia hii picha ya Viongozi waanzilishi wa Dacota napata picha kuwa vikao vya uanzilishi vilifanyika katika mikutano ya kidini ya Mchungaji Christopher Mwakasege.

Chama DICOTA kimeandikishwa kama NGO katika Jimbo la Minnesota,lakini naona vikao vyote vya uanzilishi vipo Houston,kwa nini vikao/ufunguzi huo usifanyike Minneapolis/St.paul,au Ufunguzi wake ungefanyika katika miji ya Indianapolis,St.Louis au Columbus ambayo kimtazamo ipo katikati ya USA ili kutoa nafasi kwa Watanzania wengi kuhudhuria?

Ukiangalia safu ya Uongozi kuna viongozi wawili na wake zao ni Viongozi waanzilishi,hali hiyo inaleta wasiwasi wa kuona kuwa Uongozi wa DICOTA ni kundi la watu wenye malengo yao binafsi na kutaka kutumia jina DICOTA ili kupata muitikio wa nguvu kutoka Serikalini.

Ukiacha hapa JF na website ya Ubalozi(ambako wamebandika Tangazo last week) hakuna Tangazo la DICOTA katika vyama mbalimbali vya watanzania Nchini Marekani.Hatuchukii kuanzishwa kwa umoja huo,lakini mwanzo wake umekuwa wa kinyemela mno kiasi cha kutia wasiwasi kwamba kuna hidden agenda.
 
Dear Colleagues:

We are glad to inform you that www.dicotaus.org; the website for the Inaugural Convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America [DICOTA] is now LIVE.
Please accept our sincere apology for any inconvenience caused during the time when the website was down due to some unascertained technical difficulties.
Please pass the word around and let’s know how we can make it better to serve you.
Best regards,
DICOTA Interim Secretariat[URL="http://us.mc361.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ankunga@dicotaus.org"]ankunga@dicotaus.org[/URL]

When? Miafrika ndivyo tulivyo!!!
 
Wale wahusika wa karibu tunaomba ufafanuzi kuna Uhusiano gani kati ya DICOTA na Mchungaji Mwakasege? Nimeangalia hii picha ya Viongozi waanzilishi wa Dacota napata picha kuwa vikao vya uanzilishi vilifanyika katika mikutano ya kidini ya Mchungaji Christopher Mwakasege.

Chama DICOTA kimeandikishwa kama NGO katika Jimbo la Minnesota,lakini naona vikao vyote vya uanzilishi vipo Houston,kwa nini vikao/ufunguzi huo usifanyike Minneapolis/St.paul,au Ufunguzi wake ungefanyika katika miji ya Indianapolis,St.Louis au Columbus ambayo kimtazamo ipo katikati ya USA ili kutoa nafasi kwa Watanzania wengi kuhudhuria?

Ukiangalia safu ya Uongozi kuna viongozi wawili na wake zao ni Viongozi waanzilishi,hali hiyo inaleta wasiwasi wa kuona kuwa Uongozi wa DICOTA ni kundi la watu wenye malengo yao binafsi na kutaka kutumia jina DICOTA ili kupata muitikio wa nguvu kutoka Serikalini.

Ukiacha hapa JF na website ya Ubalozi(ambako wamebandika Tangazo last week) hakuna Tangazo la DICOTA katika vyama mbalimbali vya watanzania Nchini Marekani.Hatuchukii kuanzishwa kwa umoja huo,lakini mwanzo wake umekuwa wa kinyemela mno kiasi cha kutia wasiwasi kwamba kuna hidden agenda.
Shukrani Mwawado... mimi namsubiri Utatala anijibu swali langu!
 
Hata mimi sijasikia habari zozote kuhusiana na kuanzishwa DICOTA kupitia jumuiya yetu ya TCA hapa Midwest. Inawezekana kabisa DICOTA ni jumuiya iliyoanzishwa na kundi la watu fulani kwa maslahi yao binafsi.

~Je ni Kweli vikao vya uanzishwaji wa DICOTA vilifanyika katika kipindi cha mikutano ya kidini ya Walokole ya Mchungaji Mwakasege?

~Je hii Jumuiya imeanzishwa kwa maslahi ya kundi/dhehebu/dini fulani?

~Kwa nini Jumuiya za Kitanzania za majimbo mbalimbali hapa USA hazikushirikishwa katika vikao vya uanzishwaji wake?

NB: Kuwa na Jumuiya itakayounganisha watanzania wote Amerika ya Kaskazini ni kitu kizuri sana lakini kuna umuhimu mkubwa kwa Watanzania au vyama mbalimbali vya majimbo hapa USA kushirikishwa katika uanzishwaji wake.

*Juzi tu hapa nilihudhuria Convention ya Waganda ambayo ilileta Waganda zaidi ya 1000 ndani ya Chi town.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom