natafuta kitabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kitabu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ngambo Ngali, Sep 17, 2009.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Wanajamii natafuta kitabu kimoja kizuri na detaild cha historia tulikuwa tukikisoma zamani sana mashuleni.

  Kitabu hicho kinaitwa a Short History of Tanzania na Kimetungwa na Mwanahistoria nguli aitwae Prof Kimambo, nadhani ni kitabu pekee kinachoelezea jinsi ambavyo babu zetu walidanganywa na kunyang'anywa ardhi kuelekea ukoloni enzi hizo.

  Kitabu hiki kitanikumbusha mambo yanayotokea hivi sasa.
   
Loading...