Natafuta office chair na table za bei nafuu wapi nitapata ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta office chair na table za bei nafuu wapi nitapata ?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by leseiyo, Sep 16, 2009.

 1. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #1
  Sep 16, 2009
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natafuta vita na meza za ofisini za bei nafuu. Wapi naweza kupata?
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Mkuu swali lako halijitoshelezi...kwanza wewe upo wapi? Tzania, au nje ya tanzania?...kama upo ndani ya tzania upo jiji/mkoa gani xctly?..kama upo dar...jaribu hadi furnitures wapo makutano ya barabara ya morogoro na kitu kama libya.....
  Swali la kizushi...bei nafuu kwako ni kuanzia tshs..ngapi kwa kiti na tshs ngapi kwa meza?

  Ni maoni tu mzeeeeeiyaaa
   
 3. m

  mdini Member

  #3
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kuwa serious unasema unatafuta viti au vita?

  Kama upo serious kuna jamaa angu majuu ni agent wa samani anweza kukupatia hivyo vitu.
   
Loading...