Milango ya kisasa kwa garama nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milango ya kisasa kwa garama nafuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by manyusi, Sep 9, 2009.

 1. m

  manyusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tunatengeneza milango ya aina mbalimbali kwa kutumia mbao ngumu mninga na mkongo,garama ya mlango mmoja ni kati ya 150,000-200,000 kutegemeana na aina ya mlango na finishing yake.Tutembelee katika karakana yetu Sinza palestina au wasiliana nasi kwa simu 0713876210 au email;akamanyusi@yahoo.co.uk
   

  Attached Files:

 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu asante kwa hii..nitakutafuta hivi karibuni. Je mnatengenza pia fremu za madirisha?
   
 3. M

  Manundu Member

  #3
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 7, 2008
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Je Fremu ya milango ya mninga ni bei gani?
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  milango ya ndani bei gani (milango ya chumba, bafu nk)
   
Loading...