Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Aug 28, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ipo kimara Temboni Dar es Salaam, Tanzania. Ina vyumba vitatu vya kulala, (kimojawapo kikiwa masta), ina study room, dinning room, sitting room kubwa, chumba cha kulala kikubwa. Ipo katika uwanja wenye ukubwa wa sqm 2145. Kiwanja kina Tittle Deed. Bei yake sh 200millioni. karibu.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Aug 28, 2009
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Looks to be a great house!
   
 3. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hivi bei za nyumba Kimara zimeshafika bei hizi? Itabidi tuhamie kibamba au kibaha sasa!!
  Mkuu mimi natafuta kiwanja mbezi beach au Bahari beach. Minimum 1000sqm.
  Ukipata ni PM nikupe dili kama tutaelewana!!
   
 4. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Huko temboni maji shida. Nyumba bei juu utafikiri kuna huduma bora zinapatikana vile.
   
 5. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kitomai kwa kweli nyumba ni mzuri saaana,But kwa Temboni bei ni kubwa kidogo hata kama ina Title deed
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hiyo bei haijakaa sawasawa 200,000mil? nadhani ulikuwa unamaanisha 200mil,
   
 7. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Yes, indeed!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Aug 28, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nadhani una-reflect Temboni ya zamani, nowadays maeneo mengi ya huko yana maji. Waulize walio maeneo hayo.

  Mimi nimependa ukubwa wa kiwanja cha nyumba husika, unaweza kukiendeleza ukafanya mambo mengine ya maana sana. Hopefully bei inaweza kupoa
   
 9. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  he is got every reason to sell the house, kama anaweza kupata 200m kwenye hiyo nyumba kwa nini asiuze
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Yah! I Think So, Too!
   
 11. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Alipatikana Mnunuaji???
   
Loading...