Tetesi: Mpakanjia Is No More! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Mpakanjia Is No More!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Field Marshall ES, Sep 15, 2009.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Kuna tetesi mpya na nzito sana kwamba yule mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar, aliyekuwa mume wa marehemu mbunge Amina Chifupa, amefariki dunia leo mjini Dar.

  - Bado tunazifuatilia kwa karibu habari za tetesi, ili kuzithibitisha ukweli wake.

  Respect.

  Field Marshall Es, ni Wazee wa Sauti ya Umeme!
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Asante kwa taarifa mkuu ila pitia utaona hii ishu wameiweka tayari!
   
Loading...