Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kuna lady 1 anauza gari yake so kaniomba niiweke hapa kama kutakuwa na mwenye interest nayo then wafanye biashara. details white toyota RAUM 2000 year of manufacture 1450 CC 85,000 km options...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajamii salamu!! naomba msaada wa taarifa. Ningependa kufahamu shule ambayo ina hostel au boarding school ambayo fee yake kwa mwaka is around TZS 1.5million. Hii shule iwe good academically in...
0 Reactions
38 Replies
16K Views
Hey members! Natafuta mitsubish pajero GDI at 6.5m
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF wooote! Wakuu natafuta Toyota Hiace Dungu (2L Engine) bajeti yangu ni finyu (M.7) lakini najua ndani ya JF hakishindikani kitu. Naomba kisiwe kimeo sana maana...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu anatafuta nyumba ya vyumba viwili, sebule iwe master na jiko lake iwe na parking na gate maeneo ya kijitonyama. tuwasiliane kwa namba 0712 202320
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A recently redeveloped modern property of four bedrooms located in Ununio is available for rent.It is fenced . Decent and safe Neighbourhood. Ununio Beach is next to Bahari Beach. The House is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wandugu.Nilibahatika kununua site hapo Kimara Kilungule na sasa imenishinda kwani nimepata mawazo ya kutafuta makazi Kigamboni na ninaiuza kwa yeyote aliye tayari.Ina ukubwa wa mita 20...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine-
0 Reactions
4 Replies
2K Views
We are 34 days before the meeting of FODEM takes place. What is FOSDEM? FOSDEM is a free and non-commercial event organized by the community for the community. The goal is to provide Free...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kawawa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
A recently redeveloped modern property of four bedrooms located in Ununio is available for rent.It is fenced . Decent and safe Neighbourhood. Ununio Beach is next to Bahari Beach. The House is...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muda si mrefu mwanamziki wa Msondo Ngoma Josee Maina amefariki dunia ndani ya daladala alikuwa akienda kurecord Sinza. Poleni ndugu wa marehemu pamoja na mashabiki wa Msondo Ngoma. More news to...
0 Reactions
30 Replies
15K Views
Salaam sana Tafadhili kama kuna mtu anayeweza kusaidia jinsi ya kudownload computer ant-virus au duka ambao naweza kununua kwa hapa Dar es salaam Tafadhali naomba unisaidie.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/48268-i-need-a-help.html Hebu mjibu huyo basi atupunguzie mayowe hapa siye!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba inahitajika haraka Tabata bima. Kodi laki 150000 hadi 300000 kwa mwezi iwe na:- uzio na paking. mbali na baa. barabara inayopitika kirahisi. Natanguliza ahsante kwenu wana JF.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu mimi nimeletewa zawadi ya simu na ndugu yangu anaeishi Denmark aina ya Samsung i780. Lugha iliyowekwa mle ndani ni Danish. Nimejaribu kubadilisha to English simu inakataa. Inaelekea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF nasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu, mwanaharakati wa utunzaji misitu Ndg. Corodius Thomas Sawe kilichotokea usiku wa kuamkia jana pale Morogoro. Kwa wasiomfahamu alikuwa ni Afisa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa mwenye ufahamu wa bei na ubora wa vifuatavyo,atoe maoni yake 1.Tiles Naomba bei za good Quality tiles.porcelain,ceramic all good.nahitaji za sakafuni,bafuni na jikoni. 2.Gypsum for ceiling...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimetafuta kariakoo kote tyre za gari aina ya suzuki R wagon sikupata,size yake ni 165/55R14, nimepata ambazo kubwa zinagusa body, kuna jamaa wameniambia nikanyanyue bodi ya gari ili niweke hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
German Shepherds wana jamii nimeona tangazo la mbwa nikakumbuka kuwa nilikuwa natafuta Mbwa kwa mda mrefu sana kwa ajili ya ulinzi wa nyumba wakati nipo kazini BILA MAFANIKIO. NAPENDELEA ZAIDI...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…