natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani type German Shepherds | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani type German Shepherds

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mfuatiliaji, Nov 26, 2009.

 1. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  German Shepherds  wana jamii nimeona tangazo la mbwa nikakumbuka kuwa nilikuwa natafuta Mbwa kwa mda mrefu sana kwa ajili ya ulinzi wa nyumba wakati nipo kazini BILA MAFANIKIO.
  NAPENDELEA ZAIDI AINA YA German Shepherds ILA KAMA KUNA AINA NYINGINE SIO MBAYA

  KAMA KUNA MTU ANAMAELEZO WAPI WANAPATIKANA AU WANAUZWA KWA BEI NZURI NITAFURAHI NAHITAJI 2 WASIWE WAKUBWA WAWE WADOGO CHINI YA MIEZI 4

  German Shepherds  [​IMG]
   
 2. K

  Kilambi Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeku-pm mkuu!
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna bwana mmoja ana shamba la mbwa wazuri sana German Shepherds yuko kimara mwisho, Dar es salaam, anauza laki tatu na nusu hadi nne inategemea, ni wazuri kwa kweli nilinunua kamoja hakajanisumbua hadi leo, if interested nikutumie namba yake
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ukishindwa mwone mkuu Nguli yupo hapa hapa JF atakusaidia sana
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu hata mimi nawahitaji hao mbwa ile mbaya yake!Mkuu SOKWE WA MJINI naomba namba ya huyu mtu mwenye hao walinzi please!ntakushukuru sana kwa msaada wako
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha ha,

  Aje nimpe wale na yeye gari yake(maeneo ya plastic) kama walivyokula yangu, wakipata njaa wanakula hadi nyumba ila ni walinzi wazuri kusema kweli na wanafundishika.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani na mm ninaitaji sana hawa mbwa japo nasikia nigarama sana kuwatunza je ni kweli
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hao mbwa wapo mitaa ya Namanga best bite... na bei zao ni za maelewano...
   
Loading...