Site kimara kilungule 5-7km kutoka morogoro road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Site kimara kilungule 5-7km kutoka morogoro road

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TRACE, Dec 31, 2009.

 1. TRACE

  TRACE Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Habarini wandugu.Nilibahatika kununua site hapo Kimara Kilungule na sasa imenishinda kwani nimepata mawazo ya kutafuta makazi Kigamboni na ninaiuza kwa yeyote aliye tayari.Ina ukubwa wa mita 20 kwa 25.Haina hati.Ni tambarare kabisa.Bei ni kuanzia 10milioni mazungumzo yapo.Mwenye nia namkaribiasha.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Sababu za kuiuza
  kwa ushauri mwema

  itoe kwa kanisa lolote,hapo inaonekana hakuna kanisa karibu
  mungu amekutumia wewe kueneza injili yake
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  vipi ile barabara ya kutoka Segerea,Bonyokwa mpaka Kimara haipiti hapo?
   
 4. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  sababu za kukiuza kaka...umesema kimekushinda...kiaje?? usikute kinamatatizo mengine...
   
 5. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona hakina hati mkuu? Serikali wamekataa kukupatia hati ama? Halmashauri wameshaona kuna uwezekano wa kupitisha Highway hapo au vipi?
   
Loading...