2000 raum for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2000 raum for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by dullymo, Dec 23, 2009.

 1. d

  dullymo Senior Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna lady 1 anauza gari yake so kaniomba niiweke hapa kama kutakuwa na mwenye interest nayo then wafanye biashara.

  details
  white toyota RAUM 2000 year of manufacture
  1450 CC
  85,000 km

  options
  double air bag, radio, ABS, power windows, power steering, power mirrors, AC, Anti-Lock Brakes, Premium Sound, good condition. veeerryyyy economic. inafaa kwa kijana.

  imeingia hapa direct kutoka japan mwezi wa 9.
  imesajiliwa kila kitu na ameitumia kama miezi miwili hivi. anaiuza kwa sababu ameletewa gari nyingine so hawezi kumaintain gari mbili kwa wakati mmoja.

  bei ni TSH 7,300,000/

  ukitaka kuiona na maelezo mengine pls nikol katika
  0713 - 744 144
  0776 - 744 144.
   

  Attached Files:

  • 01.jpg
   01.jpg
   File size:
   59.4 KB
   Views:
   71
  • 04.jpg
   04.jpg
   File size:
   41.2 KB
   Views:
   62
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wenye hela zao...mchuma huoooo
   
 3. d

  dullymo Senior Member

  #3
  Dec 23, 2009
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na wewe ukiwemo mzee
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  bei nzuri sana!ai mean REASONABLE PRICE
   
 5. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kuna haja ya kutoa sababu? Does it influence the price/quality of the car (does it add any value)?
   
 6. m

  mendezz2009 Member

  #6
  Dec 25, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wabongo bwana!!!
  mtu asipoweka sababu ya gari kuuzwa mnafikiria mbovu, akiweka mnaongea vitu ili mradi tu muongee. dully mo upo sawa bro mie sioni kama umefanya vibaya kutoa sababu ya kuuzwa hiyo gari.
  bei pia ni nzuri
   
 7. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lakini mbona kama picha zimenyofolewa kutoka kwenye zile website za kijapani? Au ni mimi tu. hebu tuione hivi sasa baada ya kupitapita sana pale mtoni mtongani.
   
 8. d

  dullymo Senior Member

  #8
  Dec 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haha mzee utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia wangu. kama upo interest njoo uione mashine kisha ndo utaamini mweyewe kwa macho yako.
   
 9. a

  almuldawiylah Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 17, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  very economic car. ulaji wake wa mafuta nadhani kama wa bajaji vileeeee. wenye hela mashine hiyooo
   
 10. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  inamilikiwa na raia gani...? manake kama ni mwarabu sidhani kama kuna mtu atainunua...labda mwarabu mwenzake...

  hata ikinunuliwa inabidi ifanyiwe maombi ya nguvu...usije kuwa unatolewa kafara bure...!
   
 11. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dah hii imenishtua sana....Inabidi niwe muangalifu kuanzia sasa.
   
 12. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kaka haya mambo yapo sana mjini hapa...unanua gari kumbe umenunua majini kazi inaanza pale yanapotaka kunyonya damu...sitasahau yaliyomkuta best'angu so chungeni sana...hawa wenzetu wanaamini sana haya makitu so unakuta wakinunua kitu chochote kama gari wanafukizia kwanza sasa inaweza kuwa si lengo lao yakukute au ikawa ni lengo lao, unakuta kila siku unakoswa koswa barabarani yani haipiti siku unanusurika tena ikifika hatua hiyo jua kuna damu inatafutwa hapo.....

  ni mungu tu ndo mwenye uwezo wa kukuonyesha hayo mambo
   
 13. b

  bnhai JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Nakushauri uache kununua na mafuta maana yanatoka kwao otherwise utanyonywa damu. Kwa dhana hizi sijui km tutafika. Hv ukitaka kununua unaangalia km mwarabu ndio anauza? Magari mangapi dar yanatoka Arabuni?
   
 14. d

  dullymo Senior Member

  #14
  Jan 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duh ebwana maneno yako mbona yamenistua?

  sie wabongo kweli tupo dunia ya tatu ila kw amaneno yako nadhani wewe upo dunia ya 30 kabisaaa. uchawi upo popote ndugu yangu, hivi kule sumbawanga ni mkoa wa waarabu? tc
   
 15. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nami nilikua mara 30 yako kaka...nilikataa hivyohivyo.....! sishangai...
   
Loading...