Nahitaji msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji msaada

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Marigwe, Dec 28, 2009.

 1. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ndugu zangu mimi nimeletewa zawadi ya simu na ndugu yangu anaeishi Denmark aina ya Samsung i780. Lugha iliyowekwa mle ndani ni Danish. Nimejaribu kubadilisha to English simu inakataa. Inaelekea hakuna options za lugha nyingine. Sasa kama kuna mmoja wenu anaemfahamu dealer hapa Dar anaeweza kunibadilishia iwe na lugha ya kiingereza aniarifu tafadhali kupitia JF au anitumie email to irangia@yahoo.com
   
 2. E

  Edo JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jaribu goggle , inaweza kukusaidia kutafsiri hicho ki denishi to english. Angalau inaweza kukuonyesha wapi pa kuchagua language options
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Jaribu google au tafuta mtu mwenye simu kama hiyo alafu "desa" vitufe
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Nimei-google sijui kama itakusaidia
   

  Attached Files:

 5. JS

  JS JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Vikishindikana vya google nenda kwa samsung country dealer with warranty card kama unayo watakusaidia au kama hauna hiyo card watakucharge kaservice fee kidogo tu
   
Loading...