Good school at afforadble fee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Good school at afforadble fee

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NasDaz, Dec 3, 2009.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Wanajamii salamu!! naomba msaada wa taarifa. Ningependa kufahamu shule ambayo ina hostel au boarding school ambayo fee yake kwa mwaka is around TZS 1.5million.

  Hii shule iwe good academically in A-Level, especially kwa combination ya EGM or PCB. Yeyote mwenye ufahamu, anitajie ada kwa mwaka na michango mingine ili niweze kujipanga. aidha, anifahamishe na sehemu ilipo shule husika. Si mnajua pesa zenyewe za manati!!!

  Likewise, kuna mtu kaniambia St. Mary's Sec School- Mbezi campus ada yao ni TZS 400,000 kwa robo mwaka! Je, ni kweli? Na vp kuhusu academic status yake? waiting for your support wakuu
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwanafunzi ni mvulana au msichana? St. Marys is not good at all, waweza kuona matokeao yao ya miaka iliyopita kwa uthibitisho.
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Dah!! Niliacha very important information. mwanafunzi ni mvulana!!! Thanks kwa kunikumbusha na thx kwa infromation abt St. Mary.
   
 4. M

  Matarese JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Try with either Shaaban Robert, St Mathews, or St Anthony in Mbagala.
  I wouldnt reccommend St Mary's either.
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Na ukiacha matokeo mabovu St. Mary's wamekua na skendo za kuiba mitihani mara kwa mara. Sina uthibitisho but lisemwalo lipo. Nadhani mhusika mwenyewe ata chunguza hilo.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu I recommend Feza Boys. Nasikia mwaka wa jana waliongoza wao kwa Dar Es Salaam. So Academically I here it is good na ada zake sina exact figures but it is around hiyo 1.5 mill if I'm not mistaken. Nadhani you should look into this school.
   
 7. M

  Matarese JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sasa inakuwaje wanaiba mitihani mara kwa mara lakini matokeo bado ni mabaya, how? it does'nt add up!
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu mitihani mingine ikiibiwa sana mitihani ina rudiwa all together kama form four mwaka wa jana. Pia ina tegemea wanafunzi wangapi wata pata access to that paper before the exam time & the duration they have to study it etc etc. Kuna a lot of factors. Kuiba mitihani haimaanishi moja kwa moja shule itafaulisha. Hata hivyo ndiyo maana nikamuambia kabisa mimi nimesikia tu yeye anayetafuta shule ndiyo anatakiwa kuchunguza kwa undani zaidi.
   
 9. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Feza Boys karo kwa mwaka ni zaidi ya 2m, but ni nzuri sana
   
 10. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  It's like putting a nice juicy bone infront of a dog. If the dog is hungry and smart enough to know that it is hungry and that the bone might help to allay the hunger, it will eat the bone. On the other hand if it's a lazy (No offense, LazyDog) dog, it will not move an inch. At least this is what I can gather.
   
 11. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  FEZA BOYS is now doing good,try it!!!ila kama angekuwa msichana,shule ziko kibao.
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya, shule nyingi nzuri za binafsi ni za wasichana. Kama mwanafunzi (huyu wa kwako) ni "kipanga" (bright) ombea achaguliwe kujiunga na shule za serikali kama Ilboru, Mzumbe, Kibaha au Tabora Boys, they are excellent kwa wavulana. Kwa upande wa shule za Private, kama baadhi ya wadau walivyochangia ziko shule kadhaa zikiwemo Feza Boys (hasa PCM wa kwako anataka PCB), zingine ambazo ni za wastani (si nzuri sana) ni St. Anthony, Loyola, Shaaban Robert, St. Matthew, etc. Angetaka HGL. HGK, HGE ziko nyingi nzuri zaidi.

  Jaribu kutulia na kutembelea website hizi http://www.matokeo.necta.go.tz/acsee2009/acsee2009.html, http://www.tanzania.go.tz/Acsee_results2008f.html, http://www.moe.go.tz/NectaResults/MATOKEO%20MAY%202007/alevel.htm kwa matokeo ya mwaka 2009, 2008 na 2007 kupata picha halisi ya shule na ukishapata waweza kuulizia suala la ada.
   
 13. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Fez bOYS...Hii shule ipo wapi maana ndiyo nasikia kwa mara ya kwanza leo....inaonekanani nzuri kutokana na watu wanavyoingoelea nina nephew wangu anaingia form 3 yupo shule moja ya boarding huko Mbezi beach madai yake siyo nzuri anataka kuhama though he is doing good repot yake kila mwaka yupo kwenye top 5 ila yeye anataka kuhama....naomba link ya hiyo shule ni check is out...maana tunataka ahamie semister ijayo awe katika shule inayotoa matokeo mazuri....he is a smart kid.
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Dec 3, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nina negative attitude na utaratibu wa malezi ya watoto wetu walio katika umri wa elimu ya sekondari hasa katika kipindi hiki cha teknohama. Watanzania tumekuwa na tabia ya kuwapeleka kwenye shule za bweni na kuwaaachia waalimu kazi ya malezi. Tunasahahu kuwa waalimu wanafundisha taaluma na wala hawawezi kuwafundisha watoto maadili ya kifamilia ambayo yanatakiwa kufundishwa na wazazi. Baadhi ya watoto niliowahi kuwaona wakiwa na background za namna hiyo wamekuwa hawajitambui kuwa wao ni sehemu za familia zao na wanaaproach maisha kwa njia za pupa pupa kwa kuiga kutoka kwa marafiki ambao ndio waliokuwa sehemu kubwa ya maisha yao wakati wa kukua. Watoto wa kimarekani huishi majumbani na wazazi wao hadi wanapomaliza High School ndipo wanapoanza kujitegemea, na utawakuta approach zao kuhusu maisha ni tofauti kabisa na za watoto wetu.
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  I salute Feza Boyz academicallay, but am afraid ada yake itakuwa kubwa sana pale. but anyway, nitacheki nao. hata hivyo sizani kama wana hostel pale coz' nipo more interested na school with hostel or boarding school. but thx for advice, nitacheki
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  you're right man lakini kwa huyu dogo inabidi aende boarding kwavile ni mtoto wa sister angu ambae mwenyewe anaishi mkoa!! mi mwenyewe maisha yangu kiselasela, sasa asije kachaa na yeye akaanza kuseleka kabla ya wakati!!! akikaa gheto na mimi atakuwa full kujiachia, kv sizani kama naweza kubadilisha ratiba zangu za kurudi ghetto baada ya kuanza kukaa na yeye!!
   
 17. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jamaa wana Hostel nzuri sana yani za ukweli sana!!kwani olevel huyo kamaliza wapi?maana jamaa hawana utani na wala hawalei uzembe pale!!!
  ila kuhusu ada hapo kaka inabidi ujiandae vya kutosha!!!
   
 18. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Feza Boys iko Tegeta.
   
 19. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Dada vipi hii avantar yako huoni kama inawadhalilisha ninyi wanawake?

  Back to your question, Feza Boys iko Tegeta (along Bahari Beach road block D Tel:0222650001) na ya wasichana iko Kawe karibu na Tanganyika Packers Tel: 0222781322. Shule hizi zinamilikiwa na Waturuki na kupata nafasi pale si rahisi kama unavyoweza kufikiri. Kumchukua mwanafunzi wa kuhamia inabidi wawe na nafasi maana wana idadi ya wanafunzi wakitimia darasa linakuwa limejaa na inabidi awe ametoka shule ambayo inaaminika kwa ufundishaji maana anaweza akawa kwenye top 5 huko aliko lakini hawezi kulingana na mwanafunzi anayeshika namba ya mwisho kwenye shule yao. Ila waweza jaribu unaweza ukajikuta unafanikiwa.

  For more info visit http://www.fezaschools.org/
   
 20. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu naona kwa Feza Boys umeshachelewa tayari maana mtihani wa kujiunga Foem V tayari umeshafanyika tarehe 21 Novemba. Sasa sijui kama huwa wana mitihani zaidi ya mmoja. Inabidi uwasiliane nao mapema kujua cha kufanya.
   
Loading...