Natafuta tairi za suzuki wagon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta tairi za suzuki wagon

Discussion in 'Matangazo madogo' started by GAMBLER, Dec 26, 2009.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetafuta kariakoo kote tyre za gari aina ya suzuki R wagon sikupata,size yake ni 165/55R14, nimepata ambazo kubwa zinagusa body, kuna jamaa wameniambia nikanyanyue bodi ya gari ili niweke hizo kubwa, nina wasiwasi. kama kuna yeyote anayejua wapi naweza kupata hizi tairi anijulishe, au kuna ushauri wowote wa kufanya?
   
Loading...