Ant-virus

leseiyo

Senior Member
Oct 25, 2007
116
3
Salaam sana

Tafadhili kama kuna mtu anayeweza kusaidia jinsi ya kudownload computer ant-virus au duka ambao naweza kununua kwa hapa Dar es salaam
Tafadhali naomba unisaidie.
 
Unajua ni ya aina gani uitakayo? Au yeyote ile itakayosaidia kutatua tatizo lako. Mkulu Invisible alishaziweka somewhere, lakini sina hakika kama membership level yako itakuwezesha kuziona huko. Kama hauwezi basi wewe gonga hapa ujichagulie. Then urudi kusema kama imesaidia ama la.
 
Thanks kamanda...Hivi Bitdefender ni nzuri sana maana sijawahi kuitumia!!
 
For mimi binafsi sio mpenzi sana wa hiyo kitu, mie huwa naendaga na basic tu AVG inaniambia kama nimevamiwa, najibu mashambulizi na Malwarebytes, mchezo umekwisha. Na ninazo kwenye mashine zangu zote, zinapiga mzigo kama kawa....haiharibu kitu kama ukiitesti na kuona kama inapiga mzigo unavyotaka, kama haifanyi kazi, si unaipiga chini tu unatafuta fleva nyingine.
 
Hamna noma mkubwa nimekupata vizuri hapo...nitacheck ustaarabu hapo hamna noma wala nini!!
 
Salaam sana

Tafadhili kama kuna mtu anayeweza kusaidia jinsi ya kudownload computer ant-virus au duka ambao naweza kununua kwa hapa Dar es salaam
Tafadhali naomba unisaidie.
kama vipi ni pm mimi,ninayo kaspersky ya user 10000,ni version ya 2010,nakuuzia poa tuu!!
 
kwa ushauri wangu tumia avira Anti-Vir hiyo kipoko kuliko zote usitumie AVG AU Norton Anti-Virus Computer yako itakwenda Slow sana jaribu kufuata ushauri wangu ninaokupa Au aangalia hapa ni ipi inayoongoza kwa Ulinzi kupita zote bonyeza hapahttp://www.virusbtn.com/news/2008/09_02

Thanks mkubwa kwa msaada wako nimecheck hiyo link hapo nimeona ni kweli kabisa..Nitajaribu kufatilia maana kwenye laptop yangu niliweka AVG lakini naona ufanyaji kazi wake upo slow kishenzi yaani........
 
Achana na kusikia Majina ya hayo anti-Virus ni Makubwa lakini ufanyaji wake wa kazi si mzuri download hii hapa jina Avira AntiVir Premium 8.1.0.367 bonyeza hapahttps://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/18521-avira-antivir-premium-8-1-0-367-a.html

Au kopi kisha Paste
 
Back
Top Bottom