Toyota land cruiser prado for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota land cruiser prado for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kachanchabuseta, May 4, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ni pm kama u are interested
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ni PM kama umekuwa interested
   
 3. M

  MJM JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mfalme hiyo bei umefanya utafiti lakini? Mi naiona very high
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  MJM mkuu nimefanya utafiti it is more than that
   
 5. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Ushuru wake ni kiasi gani? Maana kuna jamaa yangu mmoja alitoa kama hiyo mwanzoni mwa mwaka jana (2001 model) kwa 15M!!
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwa 15M huwezi kupata gari kama hilo kwa bei hiyo,
   
 7. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu, nilikuwa nazungumzia ushuru na sio bei ya Prado!!
   
 8. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Bei yake imeandikwa $ 16,000, kwa bei ya madafu (x TSh. 1,370) itakuwa 21,920,000, jumlisha na kodi (sio chini ya 15,000,000) kwa hivyo mtu atarajie kuwa na angalau 37 million mfukoni.

  Sio ghali kwa PRADO.
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Babu gari model hii sana sana 25 M inatembea barabarani. Bei hiyo, ni model mpya zaidi ya hiyo au ya miaka ya karibuni kuliko hiyo. Cha juu.
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu Ama hapa hakuna cha juu this is direct from the seller
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thanks kwa hilo walio niPM wengi wanataka nisell kwa 13-14$ but naweza kuwa fikilia
   
 12. j

  jingojames JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 878
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 80
  hii gari 16000USD ni ghali sana! hizi gari unazipata kwa 8,000USD to 13,000USD Direct from Japan ikiwa kwy hali nzuri tena model ya kisasa!na wala si zile USED wanazoassemble Dubai
   
 13. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu bwana!jamaa kasema bei yake-si ingekuwa bora ku bargain kuliko wengine kuwa TRA,wengine importers,wengine kuonyesha utaalamu wao etc. Kama mnunuzi unaangalia unamwambia kwa mm naweza kwa bei hii. Kwa sababu hizo gari zipo hata kwa nusu ya bei hizo hapo DSM, lakini je ni genuine au ni za wizi au papers zake ziko kwenye hali mbaya etc. K O K ukiamua kutangaza humu yote yavumilie!
   
 14. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Watanzania tumezoea vya kunyonga vya kuchinja hatuviwezi. Mashine imesimama, kila la kumpata mnunuzi mwenye dhamira halisi ya kuinunua na pesa zake sio hawa wababaishaji wa huku.
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mnunuzi ameishapatikana Mkuu
   
Loading...