Namtafuta bwana anaitwa MSHAURI (UDSM miaka ya 1999) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta bwana anaitwa MSHAURI (UDSM miaka ya 1999)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Makelele, Apr 30, 2010.

 1. M

  Makelele Member

  #1
  Apr 30, 2010
  Joined: Sep 23, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu wana Jamii,

  namtafuta Bwana mmoja anaitwa kwa jina la Ukoo Mshauri. Huyu bwana alikuwa University of Dar es Salaam miaka ya 1999. Alikuwa anachukua BCom. Nadhani alikuwa anaishi Magomeni. Na kama sikosei aliacha chuo na kwenda USA, ama alienda USA baada ya kumaliza chuo.

  Yeyote anayemjua naomba contacts zake hapa ama kwa private message (PM). Ama kama naye ni mwana jamvi tuwasiliane.

  Asanteni,
  Makelele.
   
Loading...