2002 toyota vitz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2002 toyota vitz

Discussion in 'Matangazo madogo' started by JAMIETZN, Apr 21, 2010.

 1. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natanguliza heshima.

  Gari nzuri sana inauzwa kwa usafiri wa mjini na matumizi madogo ya mafuta, safi isiyo na matatizo ya kuguswa engine kama magari mengi yatokayo japan. Ina aluminium wheel tofauti na wheel za kawaida za toyota vitz zilizo ndogo

  aina:toyota vitz
  mwaka: 2002/apr
  engine: 1300 cc
  odometer: 123,000km
  rangi: Sky blue

  bei makubaliano kwa ku pm.

  Karibu.
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wapi picha
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ipo mkoa gani?
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Picha, tafadhali!
   
 5. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka picha na bei mkuu hii gari ni nzuri sana fuel consumption ukiweka full tank kwa safari za hapa mjini unasahau kabisa?
   
 6. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio imetoka kulipiwa ushuru TRA Jana na Leo ina itatolewa Bandarini Dar es salaam. Picha zinaweza kuja baada ya kuweka plate number za Tanzania. Kwa mwenye kuifikiria hiyo anaweza kusubiri picha.

  Na nitatoa miezi 6 gurantee kama italeta shida kwa parts yoyote tuna replace.
   
 7. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #7
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitaweka picha soon mkubwa.
   
 8. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nashukuru kwa kuuliza. Nivumilie kidogo nikipokea picha toka kwa bwana mdogo nitaziweka hapa.
   
 9. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila nimesikia kali ya jiji hili wadada siku hizi wanaingilika na Vitz! wakuu ni kweli...
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Price?
   
 11. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #11
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapana. Mwanamke humpenda mwanaume kutokana na mvuto wake. Gari na fedha ni matokeo tu.
   
 12. m

  mimi-soso Senior Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  bei kaka yangu, umesahau hicho ndio kipengele muhimu
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mkulu,
  mbona umekazana kujibu swali la picha tu lakini la bei unalikwepa?
  hebu weka bei bana watu wabagain!
   
 14. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mm si mnunuzi,ila 1.kipengele cha guarantee nakushauri ukitoe,hata Toyota,TZ(IMM)Wanakwambia chukua bima
  2. Wa Tz tunapenda bargaining wape bei ongeza mil.2 za kupunguza. 3. Si una picha za Japan?wawekee hz. Kama unataka msaada wa bei nasikia zinauzwa 15mil.~ahahahaaa.
   
 15. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #15
  Apr 23, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natanguliza heshima.

  Gari nzuri sana inauzwa kwa usafiri wa mjini na matumizi madogo ya mafuta, safi isiyo na matatizo ya kuguswa engine kama magari mengi yatokayo japan. Ina aluminium wheel tofauti na wheel za kawaida za toyota vitz zilizo ndogo

  aina:toyota vitz
  mwaka: 2002/apr
  engine: 1300 cc
  odometer: 123,000km
  rangi: Sky blue

  bei makubaliano kwa ku pm.

  Karibu.
   
 16. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #16
  Apr 23, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu Nashukurukwa ushauri mzuri sana, Ila tambua tu kwambaToyota TZ IMM ni Toyota TZ IMM na JamieTZN ni JamieTZN. Huo wakati wa kuangalia na kuigiza ushauri wa watu wengine nilisha uacha zamani.

  Bei ya gari soma maelezo vizuri .
   
 17. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu!
   
 18. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  mkuumweka bei peupe acha longolongo bana watu wanataka usafiri huo.
   
 19. JAMIETZN

  JAMIETZN Member

  #19
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 20. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  ipo nchi gani ndugu??????????????????
   
Loading...