Boutique la Nguo za mtumba kwa Ladies... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boutique la Nguo za mtumba kwa Ladies...

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Gang Chomba, May 7, 2010.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Duka kuuubwa na la kisasa la kuuza nguo za Mtumba kwa wasichana na kina mama limefunguliwa Sinza Mugabe.

  Duka linaitwa El Clasico liko Sinza Mugabe karibu na hotel ya City Style.

  Nimeona pamba za ukweli, grade A...
  Hakika pametulia.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mkuu, umechoka na JK umeamua kugoma peke yako na kuwa mjasiriamali?
  hongera
   
 3. k

  kashwagala Senior Member

  #3
  May 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka najua kuna mshiko hapo! ijumaa leo,nikutafute?
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Yaani wabongo mnahisi kila kitu kuna cha juu duh.
  Kesho ntawajia na tangazo majeneza
   
 5. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwenye tangazo la jeneza usiweke karibu tena kuna jamaa pale muhumbili baada ya kuuza jeneza akasema karibuni tena akaambulia kipigo.
   
Loading...