Plots zinauzwa ziko dsm kibamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plots zinauzwa ziko dsm kibamba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by FENI, Jan 26, 2011.

 1. F

  FENI Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  plots ziko eneo la kibamba zimepimwa (surveyed) zinauzwa square metre moja tsh 5,500 wahi conctact 0754 450803
   
 2. bank

  bank Senior Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watu wengine washazoea vipimo vya kawaida kama 20x20,........................na kibamba ya wapi
  sasa ukisema skwea mita unatuchanaganya,
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wengine hesabu zimetukalia kushoto we sema 30x30 sh. ngapi tutajua
   
 4. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hivi skwea mita moja ni sawa na miguu mingapi,
  nipo interested.ila ni kibamba ya wapi na ni umbali gani toka barabarani.
  pia mahitaji ya muhimu kama maji na umeme vinapatikana umbali gani.
  hilo tu,bado niko hewani nasubiri jibu.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Chukua hiyo 30x30 zizdisha kwa Tshs 5,500= Tshs 4,950,000
   
Loading...