mbwa anatafutwa

Mfuatiliaji

Senior Member
Jun 5, 2008
153
33
natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi na binafsi na petty dog kwa yeyote mwenye naye au anaye jua sehemu wanaopatikana anaweza kuwasiliana na mimi iwe mbegu nzuri na kubwa angalizo sihitaji mbwa wanaouzwa barabarani nipo teyari kununua ila nimuone mama yake na ikiwezekana baba yake shukurani nawakilisha
 
Ha ha ha ha ha............kila la khri mkuu,wafuga mbwa mpoooooo????
 
mi nina mbwa yatima ila mjomba yake na babu yake mzaa baba yake wapo. UPO HAPO
 
mkuuu ebu acha kunivunja mbavu jamani yani u make my day du yani nimecheka mpaka watu wanashangaa ofcni huyu vp anacheka mwenyewe na pc
 
natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi na binafsi na petty dog kwa yeyote mwenye naye au anaye jua sehemu wanaopatikana anaweza kuwasiliana na mimi iwe mbegu nzuri na kubwa angalizo sihitaji mbwa wanaouzwa barabarani nipo teyari kununua ila nimuone mama yake na ikiwezekana baba yake shukurani nawakilisha

mkuu kama upo siriasi umepata kwani kama ni mfutiliaji mzuri nilisaidiwa hapa hapa na mpaka ss nimepata connection nzuri pale kikosi cha mbwa na farasi simple kupitia hapa hapa JF naipenda sana ukiheshimiana na watu vzuri humu yani ukosi chchote unachoitaji mkuu so ni pm nikupe contac
 
Ha ha ha ha ha............kila la khri mkuu,wafuga mbwa mpoooooo????

tupooooooooooooooooooo ila mbwa wengi ni yatima kupta familia yao ngumu itabidi tutafute baba na mama wa mjini mashangazi wajomba hawatakosekana so shida akuna
 
I have petty dog. Pure white wamebakia 2 tu. Wana mama tu. Baba nilimwazima kwa rafiki kwa kuhudumia jike langu.
Bei ni 300,000 per dog. PM kama unahitaji
 
safi sana mkuu shiaria umwi mbee kanfyee shikunyinge wana lukumbe
 
natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi na binafsi na petty dog kwa yeyote mwenye naye au anaye jua sehemu wanaopatikana anaweza kuwasiliana na mimi iwe mbegu nzuri na kubwa angalizo sihitaji mbwa wanaouzwa barabarani nipo teyari kununua ila nimuone mama yake na ikiwezekana baba yake shukurani nawakilisha

Nimeongea na jamaa kuna sehemu amenunua mbwa kwa euro 1,000. anasema ni mbwa mzuri na pia alikotoa wana train vizuri mbwa.
Ngoja nichukue contacts zake nitakurishia.
 
I hope familia zenu huko makwenu baba na mama zenu mmewaweka vizuri sio mnanunua mbwa wa Euro 1000 wazee wenu jua linawawakia.
 
natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi na binafsi na petty dog kwa yeyote mwenye naye au anaye jua sehemu wanaopatikana anaweza kuwasiliana na mimi iwe mbegu nzuri na kubwa angalizo sihitaji mbwa wanaouzwa barabarani nipo teyari kununua ila nimuone mama yake na ikiwezekana baba yake shukurani nawakilisha

Nenda police kilwa road huwa wanauza mbwa kwa ajili ya ulinzi na ni mbwa ambao wamefundishwa vizuri sana. hata kama bado ni mdogo watamfundisha. but their price is higher.
 
uwei kuamini mkuu police awauzi mbwa nimefwatilia wee wapi yani kila mbwa ana file lake pale tangu cku amezaliwa mkuu
 
mzee bado cjapata mbwa hakuna wenye idea wapi wanapatikana??? haiwezekani watu tusijui sitaki kuamini
 
sio kweli mkuu atujawasiliana kweli kwenye pm nikakupa contact ebu ni pm unipe mrejesho mbona mbwa wapo utashindwa ww tu
 
natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi na binafsi na petty dog kwa yeyote mwenye naye au anaye jua sehemu wanaopatikana anaweza kuwasiliana na mimi iwe mbegu nzuri na kubwa angalizo sihitaji mbwa wanaouzwa barabarani nipo teyari kununua ila nimuone mama yake na ikiwezekana baba yake shukurani nawakilisha

Mkulu nitumie private message
 
Back
Top Bottom