Jamani nimefiwa!

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
jamani mwenzenu siku ya leo nimepata msiba mkubwa wa kupotelewa na bestman wangu mpendwa. Ameilea ndoa yangu kwa muda wa mwaka mmoja na miezi miwili tu. Nisipotembelea JF kesho mjue kuwa nipo kwenye majonzi majonzi mazito:A S cry:.

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina
 
Pole sana Mkuu, wakati tunamuombea marehemu apumzishwe mahali pema, nawe pia upewe moyo wa uvumilivu kukabili majonzi haya makubwa kwako.
 
RIP best man........ pole kwa kufiwa ..... usijali ataendelea kuwa nawe kiroho.... enzi yale mafundisho na malezi yake kwenu..... AMEN!!!!!!!!
 
Pole sana Mkuu kwa msiba mkubwa uliowapata. Mweyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..AMEN.
 
Poleni sana wafiwa na aliyetangulia mbele ya haki alazwe pema peponi. Nasi twaja kila mtu na yake siku!!
 
Pole sana KINDUNDUMILA, tuko pamoja katika maombolezi. RIP, your Bestman!
 
Back
Top Bottom