Shamba Ekari Moja Linauzwa Mpigi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba Ekari Moja Linauzwa Mpigi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by BabaDesi, Jan 18, 2011.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Shamba/Kiwanja Ekari moja kinauzwa Mpigi. Bei shilingi Milioni 4. Lipo eneo zuri. Wasiliana na 075 4340606
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mpigi iko pande zipi mkuu?
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  samahani ndugu yangu. mpigi ndiyo wapi?
   
 4. dkims

  dkims Senior Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mpigi ipi?? au ndo kule baada ya mbezi ya kimara
   
 5. Pilato2006

  Pilato2006 Senior Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hilo siyo shamba, ni kiwanja. Shamba walau anzia ekari 10 na kuendelea.
  Mbona bei kubwa sana
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Ukitoka Mbezi Mwisho pale kwa Yussuf unapinda kulia kama kilomita 20 hivi...
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Ukitoka Mbezi Mwisho pale kwa Yussuf unapinda kulia kama kilomita 20 hivi...
   
 8. bank

  bank Senior Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu
  nina milioni 2.5 keshi nije ?
  Npm
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...According to what or which regulations??? Mwenye shamba kasema ana shamba la ekari moja anauza that is what it is going to be. Anayenunua ana uhuru wa kuliita ni shamba ama kiwanja ndio maana katika tangazo langu nimeweka maneno yote mawili.
  Bei ni njema tu.Jirani yake kauza ekari hio hiyo moja kwa shilingi Milioni 5. Kumbuka kuwa hii ni biashara huria. Hana haraka. Yupo tayari kusubiri hadi eneo lipande bei na auze kwa milioni Sita! (Sorry Samwel!):)
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Angekuwa anauza vipande vipande ningekuambia uje pengine mngekubaliana akakuuzia NUSU Ekari. Lakini yuko adamanti kwamba ni 4 million for the Acre or basi...:nono:
   
Loading...