Lipo Km.5 kutoka Bagamoyo mjini, na km 2.5 kutoka barabarani upande wa kushoto ukiwa unatoka Dar es Salaam. Mazao ya kudumu: Miembe na Mikorosho. Kuna Nyumba ya Mlinzi ya chumba kimoja. Ni eneo...
mimi kwa jina Naitwa Arnold Kavishe, nimehitimu International Diploma in Computer Engineering, katika chuo cha New Horizons. ningependa kupata kazi ya IT TECHNICIAN!
naomba msaada wako tafadhali!
Dolphin Sea and Air (T) Ltd is a privately owned customs clearing and freight forwarding agent, which was founded in 2005 and based in Dar es Salaam.Dolphin offers a full compliment of services...
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua simu maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa macho na matatizo ya kusikia zitakazoweza kuwasaidia kutumia simu hizo.
Akizungumza na...
Kuna kijana mtaalamu sana wa masuala ya media anaweza kukingizia kipato cha juu sana hasa kama una radio ukimwajiri! Waajiri na wenye radio tuwasiliane ni mtaalamu sana wa ubunifu wa vipindi...
"kwa wanawawke wanaojipenda tu"
Pacificamarine@yahoo.com inakutelea perfume ili uweze kunukia vizuri zaidi ya kina mama wote walio ofisini kwako, au kwenye sherehe husika. Changamkia perfume hii...
Gari Subaru Forester Silver la mwaka 2001, cc 2000 linauzwa. Gari iko katika hali nzuri kabisa na inatembea. Contact no 0712556010,0655033300 au 0754032000. Bei yake 8m maongezi yapo.
The irrigation pump is ready for use, it is installed on the trailer to make it movable, suitable for Stock watering, Spray, irrigation, Domestic water supply, Water extraction from saturated...
Dar City Centre.
2000 Square meters
Located Dar es Salaam city centre along Azikiwe Strees
Price USD 4.6 Mil/-
MASAKI
A plot of 2400 Square Meters size, off Chole Road
Ideal for...
Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa...
natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi na binafsi na petty dog kwa yeyote mwenye naye au anaye jua sehemu wanaopatikana anaweza kuwasiliana na mimi iwe mbegu nzuri na kubwa angalizo sihitaji mbwa...
Kuna rafiki anauza gari lake aina ya suzuki vitara escudo.
Ni Spaniards waliomaliza term yao ya ajira Tanzania na wanataka kurudi kwao Spain.
Unaweza kuwasiliana kwa namba zao (wanajua kiswahili...
Salaam
Kwa wale ambao (au ndugu zao au rafiki) watahitaji kupata viwanja vilivyopimwa maeneo ya Kerege naomba tuwasiliane. Kwa sasa nimeanza utaratibu wa kubadilisha matumizi ya shamba langu la...
jamani mwenzenu siku ya leo nimepata msiba mkubwa wa kupotelewa na bestman wangu mpendwa. Ameilea ndoa yangu kwa muda wa mwaka mmoja na miezi miwili tu. Nisipotembelea JF kesho mjue kuwa nipo...