Dell D630 Model, Slightly used about 8months, sell for 1,200,000/= the package includes 17" TFT screen,
Docking station and Keyboard and mouse, and 320GB external Drive
The sell is due to the...
Wakuu heshima zenu....nina hizo generators mpya zakutosha kusuply popote, hizo generators mara nyingi zinatumiwa na telecom companies kwenye minara ya simu unaweza ziona huko, zina 20kva kwa 10m...
Habari wadau wa JF.
Ninahitaji gari ndogo (saloon) ya kutembelea. Sina uchaguzi sana maana ninahitaji bei isiyozidi milioni nne (4,000,000/=). Pia ingekuwa corolla itakuwa vizuri zaidi.
Kama...
WanaJF naomba msaada kwa mwenye PC software za huawei C 3000 nina shida nayo maana CD yake haisomwi na CD ROM yangu baada ya kupata scratches, tafadhali nisaidieni ili niweze kutumia computer...
A/a kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua nyumba zanzibar sehemu mombasa nyuma ya air-port ni sehemu za ramani na nyuma zote jirani ni zakileo ninyumba ya vumba 3 includi master rm, vyoo 2,kumbi...
Hello, tunatoa huduma ya kupanda miti; kuanzia kuchimba mashimo ya miche, kutia udongo wenye rutuba kwenye shimo;mbolea, kumwagilia maji mpaka pale mti utakaposhikamana na udongo.
Gharama zetu ni...
Habari wana forum !
Je ungependa kutengeneza website ya familia,biashara,charity au organization yako kwa bei poa-(tshs150000-upward ?)
wasiliana na sisi kwa maswali.Maswali yatajibiwa haraka...
Are you looking a way to increasing customers via your website? is your website is too much slow? are you looking for a fatest website ? here we have all your answers.
please feel free to check...
Eneo zuri linalo faa kwa Camp Site, Shule na shughuli nyinginezo kama makazi, lenye ukubwa wa 80m by 90m linauzwa. Lipo Mto wa Mbu eneo la Comworks njia ya kwenda Ul noto Lodge, 1.5km kutoka main...
Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
SIFA
Maid anatafutwa,nyumba wanaishi mume na mke.hamna watoto,wanafanya kazi...
:A S 465:Wana JF
Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
SIFA
Awe muaminifu
Awe anapenda watoto na anafahamu kuwalea...
Hi Guys Up There in Ohio,
Yesterday evening I bought a used lady's pulse for my wife; tro my astonishment I found an Ohio Driver's License issued to:
KELSEY M DEMANGE
8714 CAMBRIDGE DR...
[
Ndugu wadau wa JF kama kuna yeyote anayehitaji apple machines,zipo mpya kutoka UK,za kisasa with wireless mouse & keyboard.Kwa mawasiliano zaidi piga No:0713-535430,0787-535430 au 0774-535430!!