Iphone application | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iphone application

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Echolima, Jul 31, 2011.

 1. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Nina Iphone Model M/A712LL yenye version 3.1.3(7E18) nimekuwa nikijaribu kuongeza APPL lakini bila mafanikio nina cydia pamoja na Instalous lakini nikizitumia kupata appl zingine zinanipeleka App store kulipia na ninatakiwa ku log in wakati sina account huko.
  Kwa ajili ya matatizo hayo naomba kusaidiwa nitapataje kuongeza vitu vingine kwenye Iphone bila kulipia online??????
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Ushaurivfungua acc ya itunes mbn kuna free apps nyingi tu?
   
 3. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Ninaomba mwongozo tafadhali ili niweze kuufungua acc
   
 4. s

  shakaganda92 Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duuh kaka unakazi kidogo but dont worry u can solve it kwanza i suggest u update to 4.3.3 sasa hapo is the tricky part coz saivi version ipo 4.3.5 so kwenye itunes ukitaka kuupdate itakwambia update to 4.3.5 lakini u can not jailbreak it....so kwanza download the ipsw for ur phone ver4.3.3 the locate a file in c:windows/system32/drivers/hosts ifungue and on the afu copy and paste
  74.208.105.171 gs.apple.com rudi kwenye itunes put the phone DFU mode shikilia shift n click restore locate the 4.3.3 subiri iupdate jailbreak...nenda cydia install installous...
  download ifunbox...sasa u can get cracked ipa files from APPTRCKR zipo kibao au hata appcake these sites waweza download on the pc au iphone na unaenza ziinstall kutumia ifunbox on the pc au installous brooo.....!!!!
   
 5. s

  shakaganda92 Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  free apps on itunes ni demo versions wanakuonjesha tuu ukitaka the full version lazma ulipia and i think u dont want that thats why we jailbreak
   
 6. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Thanks let me try and i will let you know
   
 7. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mkubwa iphone yangu ni free from factory so haiko locked so situmii cydia huwa natumia itunes kudownload free apps na nina 150 free apps ziko poa kabisa
   
 8. ChelseaBlue

  ChelseaBlue Senior Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu asilimia 28 ya applications zote 500,000+ kwenye App Store ni bure lakini sio nzuri kama zile za paid apps, kwa upande wa games applications nyingi za bure sio za 3D hivyo kuEnjoy maGame ya maana lazima either uyanunue au ujailbreak simu. mfano games nzuri muhimu kama Fifa 11, Ace Combat, Brothers in Arms, PES, Avatar, Crash Bandicoot Nitro Kart 3D, Fast Five ili kuenjoy kuyatumia lazima ununue au ujailbreak..vile vile vitabu muhimu vinauzwa hivyo kurely kwenye free apps pekeyake unaidhulumu nafsi'...:disapointed::disapointed:
   
 9. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu njia hiyo tatizo langu ni Elimu ndogo ya computer naomba namba yako ya simu kesho nikupigie unipe msaada kwa njia ya simu.
   
Loading...