Namtafuta Yusuf Kapanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta Yusuf Kapanda

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ikumbilo, Jul 2, 2011.

 1. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wa JF, nachukua fursa hii kumtafuta ndugu yangu tuliepoteza naye wakati nikiwa Mzinga Morogoro mwanzoni mwa miaka ya 2001.

  Kama unataarifa zake basi naomba mnisaidie. Natanguliza shukrani.

  Asante.
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Yusufu Makamba alikuwa katibu mkuu wa ccm, kwa sasa anapatikana soni pale tanga namba yake 075505391
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Anayetafutwa ni Yusuf Kapanda na siyo Yusuf Makamba mkuu.
   
 4. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kunisaidia,maana nilishituka kidogo kuona ni Makamba tena. Duh,uchakachuaji hadi kwenye majina?
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />

  075505391 huu ni mtandao gani? Mbona unaleta utani kwenye vitu serious??????
   
Loading...