semina ya utambuzi bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

semina ya utambuzi bure

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kalunguine, Jul 28, 2011.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  "Mpenzi na Mdau wa FAJI Unakaribishwa kwenye Semina za Utambuzi zinazoendelea. Mada ya Wiki hii inasema " "NAMNA YA KUPATA CHOCHOTE UNACHOHITAJI MAISHANI. Siku-j^mosi na j^pili tarehe 30 NA 31 _2011 SAA 9_11 jioni. Mahali-OFISI ZA TIBA MBADALA KWA DR.JOHN SIMBILA KTK UKUMBI WA ZAHANATI YA ICS TABATA KIMANGA. SIMU 0713250701, 0712458656 na 0713292240. Nyote mnakaribishwa. Karibisha na Mwenzako TAFADHALI ZINGATIA MUDA. HAKUNA KIINGILIO.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Sante sana.
   
 3. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  utambuzi wa nini? unaweza fafanua.
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni semina au kucheza madogoli kwa huyo mganga?
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  posho itakuwepo?
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  semina inahusu utambuzi,yaani ni semina inayomsaidia mtu kukua kiutambuzi,sio kimwili,bali kimawazo na kumuwezesha kila mtu kuingia ndani yake ili aweze kuyafanya maisha yake kuwa mepesi na kuepukana na dhana mbovu ya kuwa "mimi siwezi" karibuni sana jamani
   
 7. babalao

  babalao Forum Spammer

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee nimekupata ila niko safarini sitaweza kufika
   
Loading...