gun maker trading co ltd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

gun maker trading co ltd

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Secret Star, Jul 8, 2011.

 1. Secret Star

  Secret Star JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,285
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Ni wauzaji wa magari ya bei nafuu zaidi kutoka JAPAN na CHINA karibu kwenye yadi yetu ndogo kinondoni mkwajuni uje ujionee gharama za magari yetu uone utofauti kati yetu na yadi nyingine zilizopo hapa DSM au tembelea web yetu ya (darbusness.blogspot.com)
   
 2. Secret Star

  Secret Star JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,285
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  GUNMAKEN TRADING Co. LTD ni wauzaji wa magari ya bei rahisi zaidi kutika JAPAN na CHINA vile vile tunapokea oda za magari.. kufika na kuona gharama zetu ni kuamini tafadhari kama unahitaji magari ya bei rahisi fika leo KINONDONI MKWAJUNI kwenye yadi yetu ndogo au piga simu no 0659482953 au tembelea darbusness.blospot.com.
   
 3. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimestushwa na kichwa cha habari nimekimbia kufungua thread kumbe mnauza magari.. GUNMAKER TRADING CO.....!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa nini mnafanya mambo yanakuwa magumu sana jamani!, jina la biashara kwanza linatisha na linapotosha walengwa, pia ile blog hakuna hata picha za magari yaliyopo yard, stock na bei zao. Utategemea wateja kupata kweli?
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Naweza kupata Revolver au Colt?
  Sihitaji ndefu sana, 6'' itanifaa sana.
  Pia iwe na kiwambo cha kuzuia sauti (silencer)
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mi nahitaje mabomu yakurusha kwa mkono.
   
 7. Secret Star

  Secret Star JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,285
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ndugu unazingua bana
   
 8. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  We ndio unatuzingua, mnauza magari halafu mnajiita Gun makers huu ni ufisadi wa hali ya juu, ningependa usalama wa raia waichunguze hii kampuni kama kweli inauza magari.
   
 9. Secret Star

  Secret Star JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,285
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  teh teh teh nashukuru kwa ushauri nitalifanyia kazi
   
Loading...