Mabasi kutoka china- zond bus- sales agent wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabasi kutoka china- zond bus- sales agent wanahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ANDENDEKISYE, Aug 1, 2011.

 1. A

  ANDENDEKISYE New Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kuchukua fursa hii kuwatangazieni kwamba, kampuni mpya ya mabasi, Zonda Bus Group(inayozalisha nchini China), inatangaza bidhaa zake(Zonda Bus products), ni basi za aina zote na hutengenezwa kutokana na mahitaji ya mteja. Yana viti 28 mpaka 66 kwa basi za kawaida na pia kuna double-Decker senye viti 86.

  Nimeambatanisha waraka/document(Power Point Presentation) inayoelezea zaidi ma basi haya.


  Kwa mawasiliano zaidi,
  Wasiliana na
  Christopher Andendekisye;

  Simu; +255 784 419030
  Email: chriskisye@yahoo.com.

  Agent/wakala wa Zonda hapa Tanzania ni Awande General Entreprises.

  Pia, sales agent wanahitajika ili kuweza kutafuta soko zaidi na watapata commission ambayo tutakubaliana nao. Hii ni fursa kwetu sote.
   

  Attached Files:

Loading...