subwoofer na flat screen

subwoofer na flat screen

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Kwal wale wenye ufahamu ningependa fahamu naweza zipata wapi bidhaa hizi mbili za mtumba na jumla yake yaweza kuwa kama kiasi gani

flatscreen size ya kati tu sio kubwa sana the same to hizo buffer ni kwa ajili ya kuweka kwenye duka langu la jumla (gheto)
 
Kaka zama hizi bado uko kwenye mitumba tu? Mi sikushauri ununue mitumba ila kuna wakati huwa wanatangaza watu humu jf hivyo usikae mbali na jf.
 
Cheap price broda...maduka nayajua sana
 
Back
Top Bottom